Mahusiano hayachagui umri

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Ukiona mtu anapinga mahusiano, jiulize mara mbili mbili ana tatizo gani?

Kwa sababu haya mambo yanaongozwa na hisia; hata wewe unapopata hisia na mtu fulani lazima umfungukie, huo ndio uhalisia wa binadamu halisi.

Mambo ya kuzidiana umri tunaweka pembeni.

Babu anasimamia ukucha! Lakini kwa angle ninavyoiona mashine haiwezi ingia njia kuu labda 0712 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Acha kupotosha watu. Kama wewe Ni kibenten endelea na ujinga wako peke yako. Ukiona kijana wa kiume anatembea na mmama aliyemzidi miaka kumi, hapo hakuna hisia Wala nini, Ni umaskini wa fikra kwa mwanamke na umaskini wa kifedha kwa kijana.
 
Bora uwaambie ukweli
 
Wabongo kwa kuendekeza ngono na mapenzi wako vizuri, hii nguvu na ari wangekua nayo kwa mambo mengine Taifa lingekua mbali sana.

Mahusiano ya kimapenzi sio lazima, na kuna maisha nje ya hayo.
 
πŸ˜†πŸ˜† Na hayachagui kimo pia yaan mdada tall asiogope kuolewa na kijana mfupi
 
Acha kupotosha watu. Kama wewe Ni kibenten endelea na ujinga wako peke yako. Ukiona kijana wa kiume anatembea na mmama aliyemzidi miaka kumi, hapo hakuna hisia Wala nini, Ni umaskini wa fikra kwa mwanamke na umaskini wa kifedha kwa kijana.
Rejea ufaransa
 
Wabongo kwa kuendekeza ngono na mapenzi wako vizuri, hii nguvu na ari wangekua nayo kwa mambo mengine Taifa lingekua mbali sana.

Mahusiano ya kimapenzi sio lazima, na kuna maisha nje ya hayo.
Tufanyeje ili tuweze kuchimba mafuta tuweze kuwauzia nchi za Ulaya na Marekani ili tupate fedha za kigeni?
 
Wabongo kwa kuendekeza ngono na mapenzi wako vizuri, hii nguvu na ari wangekua nayo kwa mambo mengine Taifa lingekua mbali sana.

Mahusiano ya kimapenzi sio lazima, na kuna maisha nje ya hayo.
Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…