mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 220
umekatiza zako kitaa mara pap unamkuta manzi kasizi mahal analia et hana sehem ya kulala š¤ ukichec ni bonge la pis unaamua kujibless unaenda nae geto then unajiweka kwa sofa yeye kitandan usiku anakuomba ulale kwakitanda na mchongo ukule utakubali ?