Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Kuna imani ya dini inayosema USINGIZI NI NUSU YA KIFO.
Mtu anapokuwa usingizi anakuwa amekata mawasiliano yake mengi katika ulimwengu wa kawaida.
hali yakuwa usingizi humfanya mtu kuingia ulimwengu wa ndoto na kuyaona yale ambayo hayaonekani katika uhai wa kuwa macho ama nje ya usingizi.
Mwanadamu anapotoka usingizi anaweza kuwa katika hali ya choka na hata wengine huamka hali ya kuwa wamekunja sura.
Imani za dini zinatuambia kuwa watu watafufuliwa katika njia tofauti. JE, NJIA HIZO ZINA MAHUSIANO GANI NA SI KUTOKA USINGIZINI?
Vipi wanadamu wanajiandaa na kifo kabla ya kufa na kufufuliwa.
SOMA PIA:
Usiku wa manane (saa 9 hadi saa 10 alfajiri) ndio wagonjwa wengi mahututi hufariki
Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?
Kifo ni Ndoto Endelevu ya Milele