Mie nafikiria tungeachana na kada za kazi alafu tukajadili mazingira kama mazingira ya kazi katika kumpelekea mwanaume ama mke atoke nje ya ndoa...kwa vyovyote vile kama ilivyo kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kupata ukimwi kama hautumii kinga pia nadhani kuna uwezekano mkubwa wa kimazingira kwa watu wanaokuwa mbali na wenzi wao usiku kujiingiza ama kushawishika zaidi katika kufanya mapenzi nyinyi mnaita ngono mda wa usiku kuliko mchana,sasa kazi za mazingira ya namna hii mbali ya tabia ya mtu mazingira yanachangia katika lolote litakalotokea ama linalotokea...haya maeneo na watu hawa ni 'at risk in nature'
mjadala uendelee.