Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Wanawake wanaodundwa na kunyanyaswa ndo huwa wanadumu sana!! Ajabu hii

Kuna true story pia niliisoma kuna jamaa mkewe alikua anamnyanyasa mno kihisia na jamaa akapenda balaa, mwanamke anafanya vituko, anazaa nje ya ndoa jamaa yumo, anarudiana na ex wake jamaa yumo tu, mchizi anatukanwa yumo tuu.

Sema sasa ubaya ni kua mwanamke anamuumiza tu mwanaume ila uwezo wa kupiga wengi huwa hawana ila mwanaume ni anadunda na kuua ikimbidi.

Kasie tuambie sababu kubwa huwa ni mikito tu?? Au ile kitu inakuharihu saikolojia na kuona kama mwanaume ni yeye tu?
 
Uhalisia wa maisha ya wanawake
Wana vitu vya ajabu sana. mara kuna mtu aliyemtoa bikra, mara kuna anayempa shoo kali, mara kuna anayempa hela
Yaani balaa tupu. tuishi nao kwa akili
 
Pole sana.
Sasa hiyo miaka 10 yote ulikua nae kisa shoo tu?? Hapo katikati hukupata wengine wakukutreat vizuri ukaachana na huyo baradhuli!? Au ni vitisho pia vilichangia ukawa muoga??

Vitisho

Shoo....

Nilishakata tamaa ya mahusiano....
 
S
Kumbuka mwenzio nimestaafu mwaka jana.... nikiwa nina miaka zaidi ya 55.....

Sasa mwaka 1990 nakuwaje Primary?

Rudia kusoma tena uzi wote taratibu utanielewa.
Shkamoo dd
 
Kuna mkaka alinizaba kibao nilimuacha siku hiyo hiyo nikasema weeeee laanakum hata hujanioa umbwa wewe ,ukiwa na mwanaume anakupiga siku moja atakuuua
 
Mhhh.nimepata hofu kuu.
 
Jamaa akawa anajua ameshaniteka sifurukuti kila kitu natii halafu yeye anatongoza saa ingine mbele yangu, nakutana na meseji za wanawake zake kwenye simu,



Kwa maelezo yako hii story ni ya mwanzoni mwa miaka ya 90,mwenzetu tayar ulikua unamiliki sim??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…