Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Kumbuka mwenzio nimestaafu mwaka jana.... nikiwa nina miaka zaidi ya 55.....

Sasa mwaka 1990 nakuwaje Primary?

Rudia kusoma tena uzi wote taratibu utanielewa.
Jamaa akawa anajua ameshaniteka sifurukuti kila kitu natii halafu yeye anatongoza saa ingine mbele yangu, nakutana na meseji za wanawake zake kwenye simu,

Huu mwaka unamiliki sim ya mkonon Kasinde
 
Maisha haya tumepewa na aliyetuumba, yana siri nzito sana wadau wengine ni wapambe tuu na katu hawawezi elewa unachopitia.
[emoji848][emoji3064][emoji24] Sijui kwanini lakini hii post imeniumiza... Pole dadaake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wababa wenye binti zenu mliotumia muda kuwalea binti kuwa imara na wajasiri, ukiona hana furaha msemeshe kama baba na binti akusimulie yanayomsibu, utanusuru maisha ya binti yako). Kwa wasio na baba zao, makaka mchukue nafasi.....[emoji848][emoji2827][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijali sana sababu kwanza ni historia japo ni uhalisia wa maisha yangu, kwanini leo nimeisimulia...

Natamani hii hali ya kupatwa na hofu kila ninapoona au kusoma makala mwanamke anapigwa au ameuawa kikatili iniishe....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
10 fckn years unavumilia kipigo[emoji15][emoji15],, hzo roho mnazitoaga wapi nyie [emoji848][emoji848],
Kusuguliwa alikua anafurahia alivyokua anasuguliwa pamoja na yote Ila msuguano alikua anaupata vilivyo hadi anashindwa kutembea,
 
Hapo kati kote nilikuwa naishi kwa msuba /ganja.....
Hii ganga aka msuba aka Mmea aka Jani korofi chakula halali cha marastafali Cha kiimani (sijawahi ona rasta kakamatwa na gunia la bangi) ulikua unazimua mixing au ulikua unapiga kavukavu yaan dry cleaning?
 
Pisi zinapenda show kali[emoji1787][emoji1787]wanaume msidanganyane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…