Mahusiano, mapenzi, urafiki

Mahusiano, mapenzi, urafiki

Ukiwa mlevi una assume kila kitu kipo constant unapiga goli moja unalala hadi kuna kucha! Ila akili inakudanganya umesugua usiku kucha lol! Ukipata labda stemu kidogo it can help! Ila umelala na viatu sababu ulikuwa Njwiiii kitu hakisimamami

Hiyo sasa ni meditation!!
 
i'm a bachelor, kwahiyo nimekosea njia naona wenye ndoa zao wamejaa tele hapa,,poleni wakubwa nani waliwashauri muoane nyie? hahaha am just joking bana ila mimi kuoa bado maana kila siku hapa yanakuja mabaya ya ndoa tu, mazuri ya ndoa ni machache sana......ndooooooaaaa wait me kidogo

Ha ha ha! Unaniumiza misuli ya tumbo kwa kucheka...
Sasa! Kuna ubaya gani wao kutupasha hizi habari?
...ili ujue kabla hujaingia kwenye Pingu...za....maisha!
Hizo uzitakazo habari bila kuambiwa unazijua mwenyewe.
..lakin hizi chukua mauzoefu yao!
Me nazidi kujipatia mauzoefu tu!
 
Mkuu kila ndoa huja na vituko vyake!
 
Back
Top Bottom