Mahusiano, mapenzi, urafiki

Ukiwa mlevi una assume kila kitu kipo constant unapiga goli moja unalala hadi kuna kucha! Ila akili inakudanganya umesugua usiku kucha lol! Ukipata labda stemu kidogo it can help! Ila umelala na viatu sababu ulikuwa Njwiiii kitu hakisimamami

Hiyo sasa ni meditation!!
 

Ha ha ha! Unaniumiza misuli ya tumbo kwa kucheka...
Sasa! Kuna ubaya gani wao kutupasha hizi habari?
...ili ujue kabla hujaingia kwenye Pingu...za....maisha!
Hizo uzitakazo habari bila kuambiwa unazijua mwenyewe.
..lakin hizi chukua mauzoefu yao!
Me nazidi kujipatia mauzoefu tu!
 

Mkuu kila ndoa huja na vituko vyake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…