Mahusiano miaka 10 hata harufu ya engagement ring hamna na Bado upo tu

American Dream

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2022
Posts
313
Reaction score
352
Hello Wadau!!

Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko.

Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu.

Ikifika weekend huyoo kwenda kupika, kufua nguo na kusafisha mazingira ya kwa msela Ili uonekane wife material.

Bado mnachunguzana kama kesi za jinai.

Move on muda unaenda.

Uzi tayari 🔨
 

Attachments

  • still-waiting-.jpg
    9.2 KB · Views: 16
Mahusiano miaka 10 engagement mwaka 1 ndoa inakufa baada ya miezi 6 au mtoto wa kwanza
 
Mahusiano miaka 10 engagement mwaka 1 ndoa inakufa baada ya miezi 6 au mtoto wa kwanza
Hivi ni kwanini hii?

Alaf wakishaachana baada ya muda wanaendelea tena nje ya ndoa vzur tu bila migogoro
 
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Hizi habari za kwamba kila mtu anataka au anatakiwa kuoa au kuolewa in the conventional way ni aina fulani ya ujima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…