Hawa umri huu huwa ni sawa na ua ambalo limechanua vizuri na linaonekana zuri kila mdudu anataka akanyage
Umri huu binti huwa ananawiri vizuri, na kumvutia mwanaume
Hivyo anapata vishawishi vingi, Yani huyu anamtaka yule anamtaka asipojicontrol anajikuta anavimba anajiona anathamani kwa kuwa anahitajika sana
Hizi external forces huwa zinawaharibu hata kisaikolojia, wazee acheni kutongoza mabinti za watu, mabinti tulieni msiharibu future zenu