Mahusiano mtoto wa kike

Mwanamke wa umri huo 17-20 anakua hajapevuka kiakili. Kimsingi atakuwa bado anasoma

Ushauri wangu, jitahidi ukae mbali na Wanafunzi, utakuja kufungwa miaka 30 mkuu
 
Hawa umri huu huwa ni sawa na ua ambalo limechanua vizuri na linaonekana zuri kila mdudu anataka akanyage

Umri huu binti huwa ananawiri vizuri, na kumvutia mwanaume

Hivyo anapata vishawishi vingi, Yani huyu anamtaka yule anamtaka asipojicontrol anajikuta anavimba anajiona anathamani kwa kuwa anahitajika sana

Hizi external forces huwa zinawaharibu hata kisaikolojia, wazee acheni kutongoza mabinti za watu, mabinti tulieni msiharibu future zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…