Mahusiano na dada wa kambo

Ni kweli . Natamani ningepata wengi wakunipa maneno haya ya ukweli na uchungu maana hata kwa akili ya kawaida mahusiano yangu sio sawa kuendelea kuyaamini nazidi kujiumiza
Wewe ni sawa na mwanangu,usisubiri maoni ya watu na usiongozwe na maoni ya watu,ongozwa na hisia zako
 
Kama mnapendana na mna good understanding
Oa mkuu
 
Ukiona una mashaka jua akili yako inakuambia ulichofanya sio sahihi..

Sasa amua moja, je upo tayari mahusiano yako na mama pamoja na baba yako wa kambo yaharibike. Maana hiyo ndio gharama kubwa zaidi unayoweza kuilipia kama wazazi hawatokuwa radhi na muungano wenu
 
mila za miafrika hazijaandikwa popote, bali ni hazina ya kimapokeo ambayo huhamishwa enzi na enzi kwa hadithi za wazee wetu
Kumbe ni mambo ya hadithi tu?

Hao "wazee wenu" kupitia hadithi zao waliwaambia kwamba kumtomba dada ako ni ruksa?
 
Mtaachana Tuu.
 
Wape husia braza....watu vichwa vimejaa mazagazaga...
 
Wazazi wako walipoachana ukaungana na mama yako kuolewa kwa mme mwingine.
Sasa mama yako alipoachwa tena na wewe uliachika ama uliendelea kubaki?
 
Ni heri muachane na hiyo issue.
Mkioana tu familia zenu zitavurugika na kila kitu kitatawanyika
Tusharibu kuachana lakini ndio hivyo mapenzi yana nguvu unakuta tunashindwa inafikia kipindi mwenzangu anakonda anakuwa na mawazo . Hata kwa upande wangu hali inakuwa mbaya

Nikijiingiza kwenye mahusiano mengine nahisi kama namuongopea huyo binti ninayekuwa nae maana moyo haupo kwake na wala sina hisia naye


Wakisema watu mapenzi yanauma na yanaweza kuua waamini hawadanganyi mtu ambaye hajawahi kupenda au kupata mtu wakapendana sisemei one sided love anaweza sema najiendekeza lakini achana na kitu kinaitwa mapenzi
 
Wazazi wako walipoachana ukaungana na mama yako kuolewa kwa mme mwingine.
Sasa mama yako alipoachwa tena na wewe uliachika ama uliendelea kubaki?
Alipoachwa tena tayari nilikuwa chuo so nilishaanza kujitegemea hata nikirudi kusalimia narudi kwa mama sio kwa huyo baba na licha ya kuachana wazazi bado nina uhusiano mzuri na huyo mzee na ananichukulia kama mwanaye alinilea toka nina miaka 17
 
Siyo nduguyo huyo, hakikisha mnaoana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…