Mahusiano na dada wa kambo

Hivi mlio like uzi wa jamaa mnamaanisha mmependa hicho kitendo ama..? naanza nawewe Leejay49 umevutiwa nini na hicho kitendo cha mweka mada...??
 
Muoe tu uzuri baba yako wa kambo na mama yako wa kambo hawajapata mtoto sioni shida.
Wakikukatalia mpe mimba tu azae watakubali wenyewe .
 
SIkuona reaction nzuri ya kuweka,,.

Anahitaji ushauri lakini, nadhani ungejikita hapo zaidi
nimeamua kujikita na hili!, ku like ni kupenda hivyo mmependa alichokifanya mweka mada!. jiandaeni nyinyi na yeye motoni...🤣
tena wewe ndo kiongozi wao!
 
We ichape tu kumbuka mama alivyo achwa zidi kumwaga kojo la moto la malipizi.

Ukioa haitaleta picha nzuri Kwa jamii.
 
Inaitaji maombi makubwa sanaa
 
Sio ndugu yako labda kama wazazi wenu wanachukiana
 
Huyo ni dada yako, kulaleni kimasihara Ila sahau kuhusu kuoana,
 
Alipoachwa tena tayari nilikuwa chuo so nilishaanza kujitegemea hata nikirudi kusalimia narudi kwa mama sio kwa huyo baba na licha ya kuachana wazazi bado nina uhusiano mzuri na huyo mzee na ananichukulia kama mwanaye alinilea toka nina miaka 17
Wala siyo mahusiano mazuri na baba yako?
 
Hakuna kupendana apo nikwamba nyege zimewatawala kwakua mshajizoesha kugegedana kila mda kama mngependa msingekua nawapenz wanje , siku ukimuweka ndan hamtoboi mwaka
 
Huyo sio ndugu yako kama.mnapendana oaneni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…