HideYoKids
Member
- Jan 11, 2025
- 52
- 72
- Thread starter
- #101
Hata kama mahusiano yetu yataumiza watu wetu wa karibu ? Hata kama nitaenda kinyume na dini na miiko ya kijamii ?Kama mnapendana na mna good understanding
Oa mkuu
Ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama mahusiano yetu yataumiza watu wetu wa karibu ? Hata kama nitaenda kinyume na dini na miiko ya kijamii ?Kama mnapendana na mna good understanding
Oa mkuu
[emoji120]Wewe ni sawa na mwanangu,usisubiri maoni ya watu na usiongozwe na maoni ya watu,ongozwa na hisia zako
Pazito hapoTia mimba oa huyo ndio mwenza wa maisha yako.
Ulimkuta bikira au ulikuta wahuni tayari wameshaweka beacon yao?Pazito hapo
jibu swaliAisee
SIkuona reaction nzuri ya kuweka,,.jibu swali
nimeamua kujikita na hili!, ku like ni kupenda hivyo mmependa alichokifanya mweka mada!. jiandaeni nyinyi na yeye motoni...🤣SIkuona reaction nzuri ya kuweka,,.
Anahitaji ushauri lakini, nadhani ungejikita hapo zaidi
Huyo sio ndugu yako kibayolojiaPazito hapo
Inaitaji maombi makubwa sanaaHabari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima ,
Nimekuja na hii mada sio kwa lengo la kujisifia au kutangaza dhambi ya zinaa ninazofanya nimekuja na huu uzi sababu nahitaji ushauri pengine msaada wa kimawazo maana nahisi sio kawaida
Nisikuchoshe nipunguze maneno ni hivi kipindi nipo sekondari mama aliachana na baba baada ya kipindi kupita akaolewa tena na huyo mume aliyemuoa alikuwa ana binti yake alizaa na mwanamke mwengine mimi na mama wote tuliamia kwenye familia hiyo ambapo ni baba anaishi na binti yake makamu yangu hata kidato tulikuwa kimoja, Sasa sijui kuishi ndugu wawili wakike na wakiume wasio wa damu inachangia au shetani au ni tamaa zetu mbovu tulijikuta mimi na huyo binti ambaye ni dada yangu wa kambo tunaingia kwenye mchezo mchafu.
Tulifanya kwa siri . Kipindi wazazi walikuwa hawapo tulikuwa tunafanya mapenzi sana saa nyingine binti ananyata usiku anakuja chumbani kwangu saa nyengine naenda chumbani kwake saa nyengine sebuleni ikawa ndio michezo yetu mpka tukanogewa tukajikuta tunapendana maana hizi constant casual sex na mtu mmoja lazima mcatch feelings . So ikaenda ikaenda ye akapata mahusiano mapya na mimi pia lakini bado roho zetu hazikuridhika ilibidi dada yangu aachane na mtu wake na alikuwa na wivu na mimi na hakutaka kujihusisha na mahusiano ikafikia kipindi nikaenda chuo na yeye mkoa tofauti bado tukawa tunafatana kitendo cha mimi na yeye kuwa mbali kinatuumiza moyo in short tunapendana sana
Mama yangu hakufanikiwa kuzaa na huyo baba wa kambo na walikuja kuachana lakini sisi hatukuacha mawasiliano na mahusiano wote tumekuwa na mahusiano na watu mbalimbali lakini tumeshindwa maana kila mmoja moyo wake yupo kwa mwenzake .sasa tunajitegemea kila mtu yupo kwake lakini tumeshindwa kuachana
Natamani kumuoa lakini alikuwa dada yangu wa kambo na tayari baba yake alishaachana na mama yangu natamani tusipendane lakini tunashindwa , mahusiano yetu ya siri toka tuna miaka 17 na sasa ni watu wazima jamii itanichukuliaje ikijua ?nifanye nini nimsahau? nimchukie au pengine tunahitaji msaada wa kisaikolojia hata sielewi maana wote tulipanga tuachane lakini imeshindikana sometimes najuta kwa nini nilikutana naye au kwa nini mama yangu alikubali kuolewa na baba yake .
Natamani nimkimbie nibadili mawasiliano lakini atafanya juu atanipata saa nyengine nashindwa kujificha kuna kipindi tuliachana tulishindwa maana tulikuwa katika hali mbaya sana kiufupi tunapendana sana na tunatamani uhusiano wetu uwe wazi tuoane lakini ndio hivyo sio sawa katika jamii.
Ni hayo tu samahani kwa ambao bandiko hili litawakwaza
Wala siyo mahusiano mazuri na baba yako?Alipoachwa tena tayari nilikuwa chuo so nilishaanza kujitegemea hata nikirudi kusalimia narudi kwa mama sio kwa huyo baba na licha ya kuachana wazazi bado nina uhusiano mzuri na huyo mzee na ananichukulia kama mwanaye alinilea toka nina miaka 17
Huyo sio ndugu yako kama.mnapendana oaneni tuHabari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima ,
Nimekuja na hii mada sio kwa lengo la kujisifia au kutangaza dhambi ya zinaa ninazofanya nimekuja na huu uzi sababu nahitaji ushauri pengine msaada wa kimawazo maana nahisi sio kawaida
Nisikuchoshe nipunguze maneno ni hivi kipindi nipo sekondari mama aliachana na baba baada ya kipindi kupita akaolewa tena na huyo mume aliyemuoa alikuwa ana binti yake alizaa na mwanamke mwengine mimi na mama wote tuliamia kwenye familia hiyo ambapo ni baba anaishi na binti yake makamu yangu hata kidato tulikuwa kimoja, Sasa sijui kuishi ndugu wawili wakike na wakiume wasio wa damu inachangia au shetani au ni tamaa zetu mbovu tulijikuta mimi na huyo binti ambaye ni dada yangu wa kambo tunaingia kwenye mchezo mchafu.
Tulifanya kwa siri . Kipindi wazazi walikuwa hawapo tulikuwa tunafanya mapenzi sana saa nyingine binti ananyata usiku anakuja chumbani kwangu saa nyengine naenda chumbani kwake saa nyengine sebuleni ikawa ndio michezo yetu mpka tukanogewa tukajikuta tunapendana maana hizi constant casual sex na mtu mmoja lazima mcatch feelings . So ikaenda ikaenda ye akapata mahusiano mapya na mimi pia lakini bado roho zetu hazikuridhika ilibidi dada yangu aachane na mtu wake na alikuwa na wivu na mimi na hakutaka kujihusisha na mahusiano ikafikia kipindi nikaenda chuo na yeye mkoa tofauti bado tukawa tunafatana kitendo cha mimi na yeye kuwa mbali kinatuumiza moyo in short tunapendana sana
Mama yangu hakufanikiwa kuzaa na huyo baba wa kambo na walikuja kuachana lakini sisi hatukuacha mawasiliano na mahusiano wote tumekuwa na mahusiano na watu mbalimbali lakini tumeshindwa maana kila mmoja moyo wake yupo kwa mwenzake .sasa tunajitegemea kila mtu yupo kwake lakini tumeshindwa kuachana
Natamani kumuoa lakini alikuwa dada yangu wa kambo na tayari baba yake alishaachana na mama yangu natamani tusipendane lakini tunashindwa , mahusiano yetu ya siri toka tuna miaka 17 na sasa ni watu wazima jamii itanichukuliaje ikijua ?nifanye nini nimsahau? nimchukie au pengine tunahitaji msaada wa kisaikolojia hata sielewi maana wote tulipanga tuachane lakini imeshindikana sometimes najuta kwa nini nilikutana naye au kwa nini mama yangu alikubali kuolewa na baba yake .
Natamani nimkimbie nibadili mawasiliano lakini atafanya juu atanipata saa nyengine nashindwa kujificha kuna kipindi tuliachana tulishindwa maana tulikuwa katika hali mbaya sana kiufupi tunapendana sana na tunatamani uhusiano wetu uwe wazi tuoane lakini ndio hivyo sio sawa katika jamii.
Ni hayo tu samahani kwa ambao bandiko hili litawakwaza
Sawa mkuunimeamua kujikita na hili!, ku like ni kupenda hivyo mmependa alichokifanya mweka mada!. jiandaeni nyinyi na yeye motoni...🤣
tena wewe ndo kiongozi wao!