Mahusiano na dada wa kambo

Mtoto wa mjomba ( binamu)
Baba mkubwa ,baba mdogo ni ruksa

Kasoro dada wa kambo sio ruhusa kuoa au mwanamke ambaye alioa baba yako au mwanamke aliyekunyonyesha
Dada wa kambo sio ndugu yako wa damu,,unaweza ukaoa ila mama wa kambo au baba wa kambo hawezi akaoa au akaolewa na mtoto wa kambo.
 
Mpaka sasa nimepata option mbili tu katika maoni yote humu hii ya kwako ikiwepo [emoji120].

Ila dada umpate huyo mzee ambaye atakuwa na huo ujasiri hapo ni hatari
 
Acha huo mchezo unajitafutia shida ya maneno mabaya kutoka kwa wazazi
 
Yakobo alioa Binamu zake, hiyo ya kwako na Ya Yakobo ipi mbaya zaidi?
Yakobo alioa binamu kwa dini yangu ni ruksa kuoa binamu

Mimi nimependana na dada wa kambo ambaye kidini ni dada yangu

Nahisi niko katika Zambi na niko vibaya yakobo hana kosa yupo sahihi huwezi kutufananisha kiongozi
 
Hakuna kupendana apo nikwamba nyege zimewatawala kwakua mshajizoesha kugegedana kila mda kama mngependa msingekua nawapenz wanje , siku ukimuweka ndan hamtoboi mwaka
Unaandika sababu hujui , mapenzi ni zaidi ya sex , unaweza kutosheka na mtu na kurizika tu kwa kumuona au kumsikia sauti yake moyo wako ukawa na amani kama Ushawahi kupenda kweli utajua nazungumzia nini .
 
Hakuna kupendana apo nikwamba nyege zimewatawala kwakua mshajizoesha kugegedana kila mda kama mngependa msingekua nawapenz wanje , siku ukimuweka ndan hamtoboi mwaka
Tupo pamoja toka tuna miaka 17 sembuse mwaka
 
Muoe tu uzuri baba yako wa kambo na mama yako wa kambo hawajapata mtoto sioni shida.
Wakikukatalia mpe mimba tu azae watakubali wenyewe .
Hili pia lipo kwenye list ngoja tuone itavyokuwa au nisubiri wamekufa kama member mmoja alivyoniambia
 
Hili pia lipo kwenye list ngoja tuone itavyokuwa au nisubiri wamekufa kama member mmoja alivyoniambia
Unaweza kufa wewe mkuu,kifo ni fumbo.

Tia mimba ,watasema ila nyie mnachekea chumbani,maisha gani haya mafupi sanaa.

Mkigombana mama wazazi wenu ndio hao hao sasa.
 
Mimi nilichoambulia humu kwenye huu uzi wako ni kwamba mamako naye ni kicheche, hatulii na mwanaume mmoja na wewe umelazimika kuzurura naye!
 
Totautisha penz lakuvuana chup kiwiz nakuoa, uchumba unaweza kidum hata miaka kumi ila ukioa mwaka tu
Tulianza na sex kwa sababu kila mmoja alivutiwa na mwenzake hata mahusiano mengi yanaanza hivyo
 
Mimi nilichoambulia humu kwenye huu uzi wako ni kwamba mamako naye ni kicheche, hatulii na mwanaume mmoja na wewe umelazimika kuzurura naye!
Inaweza ikawa hakubahatika wanaume waliotulia na hilo linaweza kuwa jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…