Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mzee unatumia hisia sana, hutaki wenzio wafurahie maisha.Kwa hio utaruhusu ex mkeo aolewe na rafiki yako wa karibu na urafiki wenu ukaendelea?
Mmeachana na mkeo, huyo rafiki yako anajua mmeachana. Mmeenda mpaka mahakamani kupeana talaka.
Si ajabu mkagawana mpaka mali kumaanisha kua hamuwezi kua pamoja tena, wazazi washaridhia nk.
Sasa kutakua na tatizo gani akiolewa huko kwingine, ni kawaida tu kutokua sawa na huto rafiki wala haihitaji utaalamu kung'amua hilo ila haimaanishi urafiki utakufa au nitamkasirikia. Nitakaa mbali nao kulinda ndoa yao.