Mahusiano na dada wa kambo

Mahusiano na dada wa kambo

Habari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima ,

Nimekuja na hii mada sio kwa lengo la kujisifia au kutangaza dhambi ya zinaa ninazofanya nimekuja na huu uzi sababu nahitaji ushauri pengine msaada wa kimawazo maana nahisi sio kawaida

Nisikuchoshe nipunguze maneno ni hivi kipindi nipo sekondari mama aliachana na baba baada ya kipindi kupita akaolewa tena na huyo mume aliyemuoa alikuwa ana binti yake alizaa na mwanamke mwengine mimi na mama wote tuliamia kwenye familia hiyo ambapo ni baba anaishi na binti yake makamu yangu hata kidato tulikuwa kimoja, Sasa sijui kuishi ndugu wawili wakike na wakiume wasio wa damu inachangia au shetani au ni tamaa zetu mbovu tulijikuta mimi na huyo binti ambaye ni dada yangu wa kambo tunaingia kwenye mchezo mchafu.

Tulifanya kwa siri . Kipindi wazazi walikuwa hawapo tulikuwa tunafanya mapenzi sana saa nyingine binti ananyata usiku anakuja chumbani kwangu saa nyengine naenda chumbani kwake saa nyengine sebuleni ikawa ndio michezo yetu mpka tukanogewa tukajikuta tunapendana maana hizi constant casual sex na mtu mmoja lazima mcatch feelings . So ikaenda ikaenda ye akapata mahusiano mapya na mimi pia lakini bado roho zetu hazikuridhika ilibidi dada yangu aachane na mtu wake na alikuwa na wivu na mimi na hakutaka kujihusisha na mahusiano ikafikia kipindi nikaenda chuo na yeye mkoa tofauti bado tukawa tunafatana kitendo cha mimi na yeye kuwa mbali kinatuumiza moyo in short tunapendana sana

Mama yangu hakufanikiwa kuzaa na huyo baba wa kambo na walikuja kuachana lakini sisi hatukuacha mawasiliano na mahusiano wote tumekuwa na mahusiano na watu mbalimbali lakini tumeshindwa maana kila mmoja moyo wake yupo kwa mwenzake .sasa tunajitegemea kila mtu yupo kwake lakini tumeshindwa kuachana

Natamani kumuoa lakini alikuwa dada yangu wa kambo na tayari baba yake alishaachana na mama yangu natamani tusipendane lakini tunashindwa , mahusiano yetu ya siri toka tuna miaka 17 na sasa ni watu wazima jamii itanichukuliaje ikijua ?nifanye nini nimsahau? nimchukie au pengine tunahitaji msaada wa kisaikolojia hata sielewi maana wote tulipanga tuachane lakini imeshindikana sometimes najuta kwa nini nilikutana naye au kwa nini mama yangu alikubali kuolewa na baba yake .

Natamani nimkimbie nibadili mawasiliano lakini atafanya juu atanipata saa nyengine nashindwa kujificha kuna kipindi tuliachana tulishindwa maana tulikuwa katika hali mbaya sana kiufupi tunapendana sana na tunatamani uhusiano wetu uwe wazi tuoane lakini ndio hivyo sio sawa katika jamii.

Ni hayo tu samahani kwa ambao bandiko hili litawakwaza
Kula huyo tena Oa haraka iwezekanavyo. Hamna hata chembe ya damu mnayohusiana.

Na hiyo ndoa itadumu mpaka mnazikana. Maana baba yake ndo anakuwa baba mkwe na mama yako anakuwa mama mkwe kwake. Wazazi watahakikisha ndoa yenu inadumu.

Haya nimeya experience kwa marafiki zangu wa kiarabu. Wagombane watavyogombana wazazi lazma waingilie kati kusuluhisha
 
Habari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima ,

Nimekuja na hii mada sio kwa lengo la kujisifia au kutangaza dhambi ya zinaa ninazofanya nimekuja na huu uzi sababu nahitaji ushauri pengine msaada wa kimawazo maana nahisi sio kawaida

Nisikuchoshe nipunguze maneno ni hivi kipindi nipo sekondari mama aliachana na baba baada ya kipindi kupita akaolewa tena na huyo mume aliyemuoa alikuwa ana binti yake alizaa na mwanamke mwengine mimi na mama wote tuliamia kwenye familia hiyo ambapo ni baba anaishi na binti yake makamu yangu hata kidato tulikuwa kimoja, Sasa sijui kuishi ndugu wawili wakike na wakiume wasio wa damu inachangia au shetani au ni tamaa zetu mbovu tulijikuta mimi na huyo binti ambaye ni dada yangu wa kambo tunaingia kwenye mchezo mchafu.

Tulifanya kwa siri . Kipindi wazazi walikuwa hawapo tulikuwa tunafanya mapenzi sana saa nyingine binti ananyata usiku anakuja chumbani kwangu saa nyengine naenda chumbani kwake saa nyengine sebuleni ikawa ndio michezo yetu mpka tukanogewa tukajikuta tunapendana maana hizi constant casual sex na mtu mmoja lazima mcatch feelings . So ikaenda ikaenda ye akapata mahusiano mapya na mimi pia lakini bado roho zetu hazikuridhika ilibidi dada yangu aachane na mtu wake na alikuwa na wivu na mimi na hakutaka kujihusisha na mahusiano ikafikia kipindi nikaenda chuo na yeye mkoa tofauti bado tukawa tunafatana kitendo cha mimi na yeye kuwa mbali kinatuumiza moyo in short tunapendana sana

Mama yangu hakufanikiwa kuzaa na huyo baba wa kambo na walikuja kuachana lakini sisi hatukuacha mawasiliano na mahusiano wote tumekuwa na mahusiano na watu mbalimbali lakini tumeshindwa maana kila mmoja moyo wake yupo kwa mwenzake .sasa tunajitegemea kila mtu yupo kwake lakini tumeshindwa kuachana

Natamani kumuoa lakini alikuwa dada yangu wa kambo na tayari baba yake alishaachana na mama yangu natamani tusipendane lakini tunashindwa , mahusiano yetu ya siri toka tuna miaka 17 na sasa ni watu wazima jamii itanichukuliaje ikijua ?nifanye nini nimsahau? nimchukie au pengine tunahitaji msaada wa kisaikolojia hata sielewi maana wote tulipanga tuachane lakini imeshindikana sometimes najuta kwa nini nilikutana naye au kwa nini mama yangu alikubali kuolewa na baba yake .

Natamani nimkimbie nibadili mawasiliano lakini atafanya juu atanipata saa nyengine nashindwa kujificha kuna kipindi tuliachana tulishindwa maana tulikuwa katika hali mbaya sana kiufupi tunapendana sana na tunatamani uhusiano wetu uwe wazi tuoane lakini ndio hivyo sio sawa katika jamii.

Ni hayo tu samahani kwa ambao bandiko hili litawakwaza
Huyo huna undugu naye, na uzuri baba yako na mama yako walishaachana. Mimi nakushauri umuoe.

Hata ukipata mwanamke mwingine, huwezi kufahamu wazazi wake either walikuwa na uhusiano gani na wa kwako huko nyuma.

Ukiachana na baba yako aliyezaa na mama, bado njiani tunapishana na wengi waliowahi kuwa na mahusiano na mama huko nyuma bila kujua.
 
Hizi case zipo kwa wengi tu ata usijipe stress we endelea kula,, watu tushapeana na mimba hivi sasa mimba ina miezi 3 na wote tumeridhia tupate mtoto na ndo anakuja
 
Nimeona binamu hao first cousins wanalalana na kuzaa kabisa na familia zimebariki.. Labda na kitambika kutokana na sijui wapi wanatoka waitambika

Sasa wewe tena mbona hakuna tatizo.. Wazazi watafurahia si mnasema mmeanza wao walipoachana ndio mnazoeana mka pendana ila semeni hamjatenda la ku do bali busuu tu.. Au umuweke mimba kabisa.. Tatizo watu mmm hama mji basi

Maneno machache na kuficha ukweli uleta mengi memaaaaa maishani na kuishi kwa Amani
 
Habari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima ,

Nimekuja na hii mada sio kwa lengo la kujisifia au kutangaza dhambi ya zinaa ninazofanya nimekuja na huu uzi sababu nahitaji ushauri pengine msaada wa kimawazo maana nahisi sio kawaida

Nisikuchoshe nipunguze maneno ni hivi kipindi nipo sekondari mama aliachana na baba baada ya kipindi kupita akaolewa tena na huyo mume aliyemuoa alikuwa ana binti yake alizaa na mwanamke mwengine mimi na mama wote tuliamia kwenye familia hiyo ambapo ni baba anaishi na binti yake makamu yangu hata kidato tulikuwa kimoja, Sasa sijui kuishi ndugu wawili wakike na wakiume wasio wa damu inachangia au shetani au ni tamaa zetu mbovu tulijikuta mimi na huyo binti ambaye ni dada yangu wa kambo tunaingia kwenye mchezo mchafu.

Tulifanya kwa siri . Kipindi wazazi walikuwa hawapo tulikuwa tunafanya mapenzi sana saa nyingine binti ananyata usiku anakuja chumbani kwangu saa nyengine naenda chumbani kwake saa nyengine sebuleni ikawa ndio michezo yetu mpka tukanogewa tukajikuta tunapendana maana hizi constant casual sex na mtu mmoja lazima mcatch feelings . So ikaenda ikaenda ye akapata mahusiano mapya na mimi pia lakini bado roho zetu hazikuridhika ilibidi dada yangu aachane na mtu wake na alikuwa na wivu na mimi na hakutaka kujihusisha na mahusiano ikafikia kipindi nikaenda chuo na yeye mkoa tofauti bado tukawa tunafatana kitendo cha mimi na yeye kuwa mbali kinatuumiza moyo in short tunapendana sana

Mama yangu hakufanikiwa kuzaa na huyo baba wa kambo na walikuja kuachana lakini sisi hatukuacha mawasiliano na mahusiano wote tumekuwa na mahusiano na watu mbalimbali lakini tumeshindwa maana kila mmoja moyo wake yupo kwa mwenzake .sasa tunajitegemea kila mtu yupo kwake lakini tumeshindwa kuachana

Natamani kumuoa lakini alikuwa dada yangu wa kambo na tayari baba yake alishaachana na mama yangu natamani tusipendane lakini tunashindwa , mahusiano yetu ya siri toka tuna miaka 17 na sasa ni watu wazima jamii itanichukuliaje ikijua ?nifanye nini nimsahau? nimchukie au pengine tunahitaji msaada wa kisaikolojia hata sielewi maana wote tulipanga tuachane lakini imeshindikana sometimes najuta kwa nini nilikutana naye au kwa nini mama yangu alikubali kuolewa na baba yake .

Natamani nimkimbie nibadili mawasiliano lakini atafanya juu atanipata saa nyengine nashindwa kujificha kuna kipindi tuliachana tulishindwa maana tulikuwa katika hali mbaya sana kiufupi tunapendana sana na tunatamani uhusiano wetu uwe wazi tuoane lakini ndio hivyo sio sawa katika jamii.

Ni hayo tu samahani kwa ambao bandiko hili litawakwaza
Ni sawa na kulala na baba yako mzazi. LAANA
 
Kinachofanya muendelee kupendana Ni huo usiri, mkitaka kuachana weka wazi mahusiano ndipo mtaachana na hakuna atakae mtafuta mwenzake. Mkate unaoliwa kwa Siri Ni mtamu.
 
Huyo sio ndugu yako... Ao. Tena kwa kujiamini. Mwenye shida na aliyeingilia mahusiano yenu ni baba yako wa kufikia. Yeye ndo atakayeona haya kuwa na mahusiano na mama yako.
 
Hilo suala wazazi wenu hawatakuwa tayari.
Baba wa huyo dada yako alikulea kama mtoto wake, namama yako akamlea huyo binti kama mwanae, hii mnaleta aibu kwa wazazi wenu na jamii nzima.

Usije kushangaa wazazi wakawalaani mkijifanya mnapendana sana na kutowasikiliza.
Kama mtaendelea kulana kimasikhara endeleeni ila suala la kuoa, utamfanya mama yako akuone ni mtoto mjinga na huna akili.
Kwahyo ukilelewa na binamu yako nyumba Moja huruhusiwi kuoa?eti Kwa sababu umelelewa na shangazi au mjomba wako?

Kulelewa pamoja na dada wa kambo hakukupi uharamu wa kuoa..
 
Mtoto wa shangazi hauna nasaba nae,maana ye amezaliwa na koo ya baba mwingine,nadhani nasaba ipo kwa baba.
Nasaba ipi wakati baba wa kambo amekuja toka alipotoka na watoto ambao hata mama zao huwajuwi?
Piga hyo kitu mkuu wacha woga aisee
 
Huyo sio ndugu yako wa damu ni kama jirani ambaye mlijaliana kama ndugu sababu ya wazazi wenu kuwa pamoja.

Mtafute mi amor wako huyo a.k.a soulmate. Mtafute muanze kuishi pamoja destiny imeshaamua muwe pamoja kila mkibishana nayo inawakatalia.
 
Back
Top Bottom