Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Mwanamke anajua kuwekeza kwa mwanaume huyo ukimpata siyo wa kuja huku kuanza kuona ni jini au nini au amezoea wale wanaojifanya wapo na hela zao bar kumbe kuna mtu kapigwa za kichwa huko ndiyo wapo wasema hawali za mwanaume
 
mwanamke anajua kuwekeza kwa mwanaume huyo ukimpata siyo wa kuja huku kuanza kuona ni jini au nini au amezoea wale wanaojifanya wapo na hela zao bar kumbe kuna mtu kapigwa za kichwa huko ndiyo wapo wasema hawali za mwanaume
Kuna ukweli hapa[emoji848]
 
Kuna wanawake wataiona pepo huyo wako mmoja wapo.
 
Mwambie atafute mwanaume mwenye utu Me naona ww kiboko yako ni yule jeuri mama g sijui j lkn huyu unamchosha tu bure
 
Mwambie atafute mwanaume mwenye utu
Me naona ww kiboko yako ni yule jeuri mama g sijui j lkn huyu unamchosha tu bure
Aaah,
Mama J ile Ni namba nyingine kabisa,
Kisirani orijino pale ndiko kilipozaliwa [emoji4]
 
Habar wakuu,
Huyu mwanamke amejiajiri Ni fundi cherehani, ana miaka 27 hajaolewa na anaishi mwenyewe na mtoto wake mmoja wa kike.

Tulikutana vipi?,
Story zako huwaga ni chai tupu...

Nmesoma nmeishia njiani nikarudi kuangalia aliyepost nikakuta ni wewe nikaamua kuachana nayo.
 
Habar wakuu,
Huyu mwanamke amejiajiri Ni fundi cherehani, ana miaka 27 hajaolewa na anaishi mwenyewe na mtoto wake mmoja wa kike.

Tulikutana vipi?,
Mkuu uko vzr kwa kuonga uko vzr sna ktk Hilo Kwanza mpk hapo ushampa pesa nyingi Sana mku Wala usione noma pesa zako ziko hapo Kama laki tano ktk hyo nyumba
 
Huyu ndio kiboko ya mama J.....utachangia hiyo nyumba mpaka fence mama J wako yupo yupo tu.
 
Wasiwasi wako ni nini mkuu
Eendelea kumla tau
 
Daa we jamaa sjui freemason unachakata sana mbususu na posho kuwaachia za kwenda ,Sema nini chakata mzee zipo nyingi tusitegeane wakuu
 
Kila ukikutanaa nae lazma uchangie ujenzi na mpo wengi mlojenga hyo nyumba ilihali nyny mmepanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…