financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hivi mkuu, muda wote huo mkeo anakua wapi? Ni kama muda mwingi unashinda na michepuko kuliko familia? Mara mama J, mdogo ake pia ulibutua, sahivi umehamia kwa fundi nguo, huridhiki tu?😜