Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Unazani hela unayotoa ni ndogo na pia inaonekana unampenda isipokuwa unaogopa kujiachia.Kama angekupenda angekuomba azae na wewe.Wanawake wana akili wewe unazani hajitambui, ameshakusoma kuliko unavyozani.
 
Mkuu;
Huyo dada ni mtu na nusu na nidra sana kumkuta dada kama huyo yaani ungeoga mvua za matusi.

Kuna aina za wanawake hawajui kuchukia hata ufanye je.

Nimewahi kukutana na binti kama huyo lkn kwa muda mfupi nilimwambia plz wewe ni binti mdogo mno kuwa na mahusiano na mimi plz tafuta mtu mwingine japo u mrembo lakini plz tafuta mtu.

Yule binti nilimblock lkn wapi na alitumia simu tofauti kunitafuta na zote naziblock lkn wapi.

Akifanikiwa kuongea nami hana manung'uniko na yuko peace tu na anasisitiza ananipenda.

Huwezi amini hadi leo hachoki na haachi kunitafuta.
Akibahatika nikapokea simu yake yaani ataongea kwa furaha kama vile ninamtendea mema japo hadi leo mimi msimamo wangu uko pale pale.

Huyu wako ni mwanamke bora kabisa tofauti na mama J wako.
Ungekua unamng'ang'ania huyu nisingekulaumu kama nifanyavyo kwa mama J.

Lakini ipo siku akipata tulizo hatataka kuona hata simu yako.

Mwanamke akivunjika moyo yaani upendo huteketea tikitiki hasa huyu anayekuvumilia kwa muda mrefu...bonge la muelewa sanaa.

Hebu umfanyie kitu upatapo nafasi.
 
Kwa
Sa
Mkuu
Safi sana unajua sana kuelezea vizuri. Kwa uzoefu wangu huyo anakutengenezea mfumo wa kukunasana ili iwe vigumu wewe kumuacha na badaye utatumika kwa masilahi yake tu.. Mi pia nimenasa kwenye mtego kama huo.
 
Mchunguze kwa makini ujue anaupendo kwerii licha ya yote anayokufanyia,Kama utathibitika machoni pako muoe but Kama dini yako inaruhusu,ila kupendwa raha bhana lakini kwa tunaopendwa😁
 
Dah! Acha tu[emoji3525][emoji26]
 
Mkuu Kwa unavyomhonga huyo mwanamke akimaliza kujenga hako kajinyumba kake inabidi akujengee ka apartment akushukuru.
 
Mmh mzee una hatari
 
Moyo wa Huyo umepigwa ganzi hausikii maumivu

Yeye anachojali mwanaye anayeishi
 
Una moyo sana bro.. unakuka matapu tapu ya huko mboga mboga?
 
Siku binti mmoja mdogo tu tulipendana sana.
Mara mimba hiyo.
Ikawa mi siko tayari kulea saa hii katoe.
Sawa,ntatoaje sasa? 30 000 hiyo katoe.
Duh,binti ndo kwanza kapotea na kaacha barua kwao anaenda kujiua.
Lawama zote nipewe mimi.
Kumbe kaenda kujifukia huko kijijini kwao kazaa karudi mtoto ana miaka miwili.
Sasa hivi binti ana miaka 22+.
Yaani kila nikimuangalia nafeel guilty vibaya sana.
Wanawake huwa wana siri sana😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…