Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Umenikumbusha kamchepuko kangu kamoja kalikua kananiambia eti " hivi we unaona nilivyo mzuri unadhani wanaume wangapi wananitongoza? Hebu tuma hela nyingi..!" 😆😆😆 Nilikua nacheka sana na situmi hata mia 😄
 
Sasa acha kumpa posho kila mkikikutana kama mara tatu hivi leta mrejesho
Icho kipengele mbona kigum Sana,

Hii mbona haiwezekani. Itakua ni aibu.[emoji848]

Vinginevyo labda awe Ni MKE wangu wa ndoa, nnaemhudumia fulltime.

nnejua wapi ntafidishia hiyo posho.
 
Umenikumbusha kamchepuko kangu kamoja kalikua kananiambia eti " hivi we unaona nilivyo mzuri unadhani wanaume wangapi wananitongoza? Hebu tuma hela nyingi..!" [emoji38][emoji38][emoji38] Nilikua nacheka sana na situmi hata mia [emoji1]
[emoji38][emoji38]uyo mwanamke wako Alikua kiboko aisee, hivi kalikua na miaka mingapi chief
 
Usimfanyiee hivyooo mkuuu..yupoo real ndio hivyoo ajui afanyee Nini...muachee tu jumlaa basi
Namwambia namuacha au namuacha achaje?

Akiniuliza sababu za kumuacha namwambia kisa Ni Nini?

Akigoma akisema bado ananihitaji, nafanyaje?
 
Kama ulikuepo mkuu,
MamaJ ukiacha Ela ndogo ni ugomvi,
Huyu hanuni, halalamiki Wala hanunguniki.

Sema hapo kwenye kumuacha mamaJ moja kwa moja ndio kipengele mkuu[emoji848]
Naona mama j ana kipande chake kwenye moyo wako
 
Kuna part 2 au nitoe ya moyoni sa hivi hivi
 
Mwanamke mchakarikaji kama huyo kwa ulimwengu wa sasa ni dhahabu, sote hatujui nyuma ya pazia kuna nini kinaendelea kama kuna danga lingine lina support movement,

kama ingekuwa hivo angeshakuletea madharau siku nyingi angekulinganisha na danga lake, at the end ww ndo ungetoka kwenye mchezo, ila katika bandiko lako hatujaona kiashiria cha ww kulinganishwa au kupuuziwa.

Muda ni jibu sahihi ww endelea na msimamo wako huo huo wa kutoeleweka kama mvua za dar, iko siku utapata majibu kamili yanayokusumbua kichwa, ni mapema sana kumuonea huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namwambia namuacha au namuacha achaje?

Akiniuliza sababu za kumuacha namwambia kisa Ni Nini?

Akigoma akisema bado ananihitaji, nafanyaje?
Bas mkuu Badoo nawee una matumizi nayeee😄😄...mbonaa rahisi Sanaa na hivi sio mkeo..halafuu Mara nyingi nyiee wanaumee ndio huwaa malast say..
 
[emoji38][emoji38]uyo mwanamke wako Alikua kiboko aisee, hivi kalikua na miaka mingapi chief
Ni kamwanafunzi ka chuo kalikua kama na 20 au 21 hivi.. Sema kweli kalikua kazuri ni ka point 5 mixcha muarabu sijui na mdigo kama sijakosea..
 
huyo mdada atakuwa ni Muha, kama sio muha basi anajielewa na anaelewa mazingira aliyotoka tangu utotoni mwake,
Huenda alipata mimba kwa bahati mbaya but mwanaume aliye zaa naye akawa hajielewi ila yeye akabaki kuamini kuwa maendeleo yake hayategemei mwanaume bali ni uwezo wa mungu alio mupa,
Au tuseme huenda mpo vidume wawili ambao mnamuhudumia ila wewe anakukubali sana tena sana huenda ni kwa show unayompa au ni kwa sura yako tu anajihisi amani
 
Ni msambaa wa tanga.

Kuhusu kidume sidhan, maana sijawahi kuskia kidume kinatext au kumpigia tukiwa pamoja.

Kingine ile confidence ya kunikaribisha kwake inanipa Iman kua sio mtu wa wanaume yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…