Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Ni kamwanafunzi ka chuo kalikua kama na 20 au 21 hivi.. Sema kweli kalikua kazuri ni ka point 5 mixcha muarabu sijui na mdigo kama sijakosea..
Hako kalijikuta kanapendwa na wengi,
That's why kalikua kanakusumbua[emoji4]
 
Hili nalo huenda likawa true
 
Kwani Unataka nikupe mara ngapi? Au nimechanganya mafaili,niliyempa ni mwingine[emoji849][emoji33]
" Nilipomwona nikamtongoza Tena,
" Tena kwa Mara ya pili",
" ona Sasa aaah, aaah aaah....."

Umenikumbusha ule Wimbo wa ferooz[emoji4]
 
" Nilipomwona nikamtongoza Tena,
" Tena kwa Mara ya pili",
" ona Sasa aaah, aaah aaah....."

Umenikumbusha ule Wimbo wa ferooz[emoji4]
🤣🤣🤣Napenda sana comments zangu always zinamfanya mwanaume yeyote asiwe na hamu nami🤸
 
Ndugu yangu unahangaika sana na mapenzi,sijui ulioa ili nini?
 
Ndugu yangu unahangaika sana na mapenzi,sijui ulioa ili nini?
Wapi umeona nahangaika mkuu,
Mbona Naishi tu Safina MKE wangu.

Ndoa yetu mbona iko imara tu na haina tatizo lolote kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Napenda sana comments zangu always zinamfanya mwanaume yeyote asiwe na hamu nami[emoji1732]
Ha ha ha ....
kumbe unafanya kusudi?
 
au hili tabasamu lake kila nnapomtenda Kuna kisasi kavilimbikiza Labda ananiandalia aje anipige pigo takatifu au vipi
shikilia hapa kwanza, yaani radi itakayokuja kukutwanga wewe sasa ipo sehem inapiga pushups
 
Kuna muda Mungu anakuletea mtu akufariji...na ww umvushe tuu kwa sehemu fulan tena huku akipewa nidhamu na hekima kubwa ktk kulitekeza hilo...haya mahusiano tunakutana na mengi sana..hongera sana mkuu..wanaume tunapenda sana faraja!
 
Wadada wa hivyo wapo sana, ila huharibiwa na marafiki tu.

Hizi habari za kua wanawake ni wapenda pesa zinawaharibu saana baadhi ya wanawake.
Huenda hiyo simu yake ya kitochi ndo inamfanya awe hivyo, hizi smartphone zinawajaza tamaa hawa mabinti.
 
Ila we jamaa mkeo ni mbovu kiasi gani mpaka unamcheat kiasi hicho??

Nyuzi zako hujawahi kumsifia mkeo, zote ni michepuko, utundu upo michepukoni na sio ndani?
 
Mzee wa totoz kama kawaida yako...
 
Ila we jamaa mkeo ni mbovu kiasi gani mpaka unamcheat kiasi hicho??

Nyuzi zako hujawahi kumsifia mkeo, zote ni michepuko, utundu upo michepukoni na sio ndani?
Mkuu,

MKE wangu Ni mrembo,
(Baadhi humu jf wanamjua)

Sema tatizo Ni mama wa kanisa,
Hana purukushani zozote za kuleta humu kujadili, .

Sina tatizo nae kabisa,
Tunaishi kwa amani,familia na ndoa yetu imejawa na upendo sana.

Chamuhimu namheshimu sana,
hajui makando kando yangu yoyote nnayoyafanya uko nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…