Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Kuna muda Mungu anakuletea mtu akufariji...na ww umvushe tuu kwa sehemu fulan tena huku akipewa nidhamu na hekima kubwa ktk kulitekeza hilo...haya mahusiano tunakutana na mengi sana..hongera sana mkuu..wanaume tunapenda sana faraja!
Sahii kabisa,
Huyu mwanamke Ni wife material kabisa.

Kuna MDA huwa najiuliza uyu aliemzlaisha Kisha akamtelekeza, alikwama wapi kuweka ndani moja kwa moja.

Mbona mimi nikiangalia namwona Ni mwanamke Safi,mtiifu,mpambanaji, asiye na kasoro,tamaa na Wala uhuni wa Hapa na pale [emoji848]
 
Duh nmeanza kukufahamu kwny uzi wa betting afu nikakuona upo very smart na mambo, HAPA UMEYAKOROGA DeepPond mzee wa Race to 'n' corners bt all in all this is how lyf goes, keep on CHAKATA HIYO MBUSUSU
 
Kwann Tena[emoji4]
Natania[emoji23]

Unamchunia miezi,unarudi tena[emoji23]

Binafsi nafanana na huyo,lakini pesa naomba[emoji23][emoji23]

ukiwa na roho ya hivyo raha sana[emoji7]
 
Utakufwa you will da.... utakufwa vibaya wewe nakuhurumiya....
 
Duh nmeanza kukufahamu kwny uzi wa betting afu nikakuona upo very smart na mambo, HAPA UMEYAKOROGA DeepPond mzee wa Race to 'n' corners bt all in all this is how lyf goes, keep on CHAKATA HIYO MBUSUSU
Bad nipo sana,
kule ndo home mkuu[emoji4]
 
Mwanamke ana akili sana -mgodi huo , usiache.
Mwanamke wa maana sana huyo , Kuliko yule kichaa wako Mama j
Hakika mkuu,
Sema Sasa hisia zinagoma kabisa,

Naenjoy nnapokua nae, tukishaachana hisia nae zinakata kabisa[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…