Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

.

Kuwa makini usijekuja kupigwa na kitu kizito
 
Nina wanawake wawili wa aina yako... Nipo nao mwaka wa 2 sasa. Hadi nimewazoea maana hawakasiriki hata nisijibu msg nisipokee cm, hata ipite mwezi nikituma msg 1 tu anakuja, ila mimi wangu hawa angalau wanajiweza kimaisha... Ni watam balaa wangekua sio watam ningekua nimewaacha zamani...

Kuna wanawake wana roho za kipekee sana... Ila mkuu huyo wako inaonekana wewe ndio faraja yake alafu anaona umemthamini na kumpenda kwasabab akijipima na uwezo wa kiuchumi ulionao anaona hastahil kuwa nawewe... All in all endelea kumtunza tu mtu mwenyew hana gharama, ila sasa ukimpa mimba usitegemee ataitoa
 
Dah binafsi hata sina cha kukushauri mkuu,manake huyo dada naona ni very innocent.

Sema mwambie ukweli tu kuwa huna mpango naye.
 

Hv siku akijua itakuaje mkuu[emoji848]
 

Nani kakwambia hajui,? Sema hataki purukushani tu. Hawa watu wamejaliwa hisia na uwezo wa kipekee sana. Ukianza mambo Yako pembeni wanahisi ila wanakua hawataki mazonge tu. Wakitulia unajiona mjanjaaa. Mke wako anakufaham vizuri sana, hata unapomdanganya, anajua hapa nadanganywa ila anakubalibtu siku ziende.
 
Daah nyumba kodi 9000 kama nyongeza za mishahara ya watumishi [emoji23][emoji23][emoji23] manake kwanza apo acha nicheke
 
Daah nyumba kodi 9000 kama nyongeza za mishahara ya watumishi [emoji23][emoji23][emoji23] manake kwanza apo acha nicheke
Kabisa mkuu,
Tena dar hii Hii brother
Mimi mwnyw nilishangaa sana
 
Huenda Ni kweli
 
Sema mwambie ukweli tu kuwa huna mpango naye.
Sasa mbona umemshauri Kati ulisema huna cha kumshauri, kweli duniani maajabu hayaishi[/QUOTE]Huyu MDA wote anatabasamu,
Yeye kila kitu Ni ndio tu
Na hili nalo najua nkimwambia atatabasamu tu
 
Basi tu hua wanaamua kunyamaza kupunguza purukushani.

Na siku mkeo akianza ku cheat utahisi tu, Kuna vitu utaviona au Kuna mabadiliko utayaona.
Sahii kabisa,
Mwanamke akianza kucheat hajifichi
 
Shukran Sana kwa mchango wako mkuu,

Huyu hajawai hata nambia Kama ana mpango wa kuzaa na Mimi au vipi.

Sema nnachojitahidi Ni nisimpe mimba,
Kwa hizi sarakasi nnazomfanyia sasa, ikitokea nikampa aisee mimba ntamtesa Sana.

Sitaki itokee
 
ha haaaaa mzee wa kazi ulipotelea wap aseeeee
 
mko wengi niamini ndugu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…