Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Ndugu yangu unahangaika sana na mapenzi,sijui ulioa ili nini?
Umeona eeh... aidha hampendi mkewe alilazimishwa kumuoa. Au ana ulimbukeni wa wanawake kisa vichenji chenji havimpigi chenga anataka kila key aichakate
 
Umeona eeh... aidha hampendi mkewe alilazimishwa kumuoa. Au ana ulimbukeni wa wanawake kisa vichenji chenji havimpigi chenga anataka kila key aichakate
Hahahahaha unadhan kutromba au kutrombwa nje ya ndoa maana yake humpendi mwenza wako..? Maisha ndio yalivyo uwe na pesa usiwe na pesa, uwe na kilakitu au uwe masikini, upewe mahaba kama yote na mwenzako kuchepuka ni sehem tu ya maisha, tena huyo anachepuka na wanawake wawili tu which is fair and safe... Ukitaka mke/mume wa pekeako chonga gogo lako lifiche ndani
 
Mkuu huyo mwanamke nadhani anafaa kuchukua nafasi ya Mama J kwanza anajua maisha ni nini .Usimpotezee
 
Nimeishia hapo ulipoandika michepuko miwili ni fair and safe.
 
Mkuu huyo mwanamke nadhani anafaa kuchukua nafasi ya Mama J kwanza anajua maisha ni nini .Usimpotezee
Hisia zinagoma kabisa chief,
Naenjoy TU nnapokua nae, nkitoka znakata
 
Usicheke maisha yanatofautiana lakini uzuri alikua na akili kusave vijipesa ili kununua kiwanja na kujenga walau hicho Chumba kimoja

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Waafrika tunapenda sana kulive maisha expensive na kuonekana rich...!! Mtu ukipata kipato kidogo tu unataka uongezee matumizii badala ubakie hapo hapo Usave ufanye mambo ya maana wapi
 
Mkuu sisi wanaume wengi tunapenda wanawake wanaotutenda na kuja kulalamika humu jamvini ila ukipata mwanamke asiye endekeza tamaa bali upendo wa kweli tunawachukulia poa,nafikiri wewe mwanamke ambae angekufaa zaidi ni yule anaesema anatumia bando la 3million kwa siku na chakula chake cha siku ni 2million pengine hapo akili yako ingekaa sawa
 
Story zako tu znanipa raha sana mkuu
 
Mmh kuna watu wanamoyo kwel,acha nisome comment
 
Nafsi yangu inanambia ndoa yenu itadumu sana.
 
Mkuu endelea kuichakata mbususu yake, ila upunguze kumuachia posho kubwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…