Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Angetambua angeshanambia au kunilaumu TU mkuu,

Ujue Yuko kimya na anatabasamu maisha yanasonga, yaan utadhan sijawahi mkosea.
Tena Kuna wakati alikupigia simu ukiwa ofisin hukupokea na ulipopokea ukamwambia hauko ofisin af ye akachukulia fresh mbona nakuona hapa Mzee baba maaibu kama yote

Nimempenda huyo dada aisee ameamua kuchagua njia sahihi kwenye maisha ya kutomtegemea binadamu ampe furaha na still anajitambua na habani mbususu
Imagine unafanya nae sex Hadi kwake

Daaah very different, one in de millions
 
Habar wakuu,
Huyu mwanamke amejiajiri Ni fundi cherehani, ana miaka 27 hajaolewa na anaishi mwenyewe na mtoto wake mmoja wa kike.
Usisemee yule mkwere. Mfupi mweupe hivi. Hanaga hiya a yule. Mm nmeachana nae mwaka juzi anakaa mbande Kwa baharesa 🤣
 
Wakati naanza kusoma sikuangalia I'd lakini nikajisemea mbona huyu kama @ DeepPond nakuja kuchek kumbe kweli ni wewe. Pole mkuu lakini wapo wanawake wa hivyo na sio kwamba wanajali kitu mioyoni mwao washajionea sawa tu na hawana habari na mahusiano.

Anaweza kuwa na wanaume wengine au hata asiwe nae kabisaa yote yanawezekana
 
Hahahaha kuwa mwanaume ni kazi ngumu kudadeki
 
Mkuu kipindi unayaanza maisha ulikuwa na genye kiasi hicho au ni baada ya kuzipata[emoji23][emoji23]
 
Usicheke maisha yanatofautiana lakini uzuri alikua na akili kusave vijipesa ili kununua kiwanja na kujenga walau hicho Chumba kimoja

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Sahii kabisa,
Sio juhudi za kubeza hizi,
Kwa kipato chake,kapambana sana
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…