Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

Ndesalee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
1,092
Reaction score
520
Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
 
Agwambo. Ngoja nikupe siri moja muhimu saana mwanamke mwenye hasira wanatafutwa saana na hili uweze kudeal nae ni lazima huwe na nguvu za kukwichi kwichi yaani yeye akikasirika muite chumbani piga mzigo mkitoka hapo mambo poa. Lakini ukileta ubabe na ununda hapo hakuna ndoa
 
Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
Kama anakufaa usimwache kisa ana hasira, coz hata asie na hasira za karibu hakosi changamoto.
 
Kwanini anakasirika? Chanzo ni nini?
Vitu vidogo mfano mlipanga muwe na ratiba ya saa flan pamoja, ukichelewa kwake ni malalamiko, pia akitokea mmeongea jambo, ukiwa unamuliza tena anakasirika sana. Yaani hasira zake zinakuwa kuwa mpk unauliza ni jambo hili hili au **** lengine. Anajibu ni hilo hilo..
 
Sasa mtu kama huyo unabaki nae kufanya nini fukuza. Au wew nikama unalazimisha penzi kwa majamaa wengine akifika meno 32 yote njee.
 
Back
Top Bottom