Mahusiano na wasichana ni 'comedy'

"Kwahiyo unachotaka kwangu ni mapenzi tu au?"

Huyo anakuuliza hivyo akimaanisha kua unataka kumnyandua tu au una mpango wa kumuoa?
 
Unanikumbusha kamoja, kaliniomba 400k nikakaambia kasubiri, nikataka nikakule kwanza walau hata mara kadhaa ndo nikapatie pesa kaliyoomba, (maana sitaki uzembe kabisa wa kulia lia kwenye mahusiano)

Katikati ya safari kabla sijakatumia pesa nikaambia kaje, kakakubali kakataka nikatumie nauli, nikakatumia nauli 6000 baada ya muda mfupi kakaniambia kametingwa hakawezi kuja! Nikauchuna...

Siku ya tatu nikakapigia tena, mbona hauji kakaniambia hakana nauli, nikakatumia 5000 (kumbuka hapo kanasubiri ahadi yake ya 400k) hakakuja, nikauchuna!

Ilipofika siku ya ahadi kakanitafuta mapema sanaaa, nikaambia utakuja kuchukua saa ngapu? kakasema nakuja sasa hivi, kweli chap kakanipigia kamefika eneo la tukio, nikakagegeda weeeee masaa kama 7 hivi, muda wa kuondoka nikakaambia pesa utakuja kuchukua wiki ijayo, nikakapa nauli 3000!

Kwanini nilifanya hivi?
Niligundua kameniona boya, kutaka nikatumie nauli then hakaji, na 400k niliyotaka kukapatia nikakapotezea! Bradi bronkeniii, instanbull!
 
[emoji23][emoji23]story yako imeisha kibingwa sana
 
Wewe una miaka mingapi na binti ana miaka mingapi?
 
Ulikakomesha
 
Visenge sana vyenyewe vinadhani sisi hatuumii tunapovipa hela. Hela inauma sana basi tu asikwambie mtu
 
Binti ale nguruwe halafu na wewe umle binti aliyenawiri kwa kula nguruwe. Yaani huli nyama ya ng'ombe halafu unakunywa maziwa.

Nimeamini. Maisha bila unafki, hayaendi.
 
Binti ale nguruwe halafu na wewe umle binti aliyenawiri kwa kula nguruwe. Yaani huli nyama ya ng'ombe halafu unakunywa maziwa.

Nimeamini. Maisha bila unafki, hayaendi.

Kuku anakula nyoka na wadudu kisha ananenepa unachinja unamla!

Kinda win-win[emoji851]
 
Pole sana usiwe unamuomba, wewe chukua tu, msamaha utaomba baadae...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…