Unanikumbusha kamoja, kaliniomba 400k nikakaambia kasubiri, nikataka nikakule kwanza walau hata mara kadhaa ndo nikapatie pesa kaliyoomba, (maana sitaki uzembe kabisa wa kulia lia kwenye mahusiano)
Katikati ya safari kabla sijakatumia pesa nikaambia kaje, kakakubali kakataka nikatumie nauli, nikakatumia nauli 6000 baada ya muda mfupi kakaniambia kametingwa hakawezi kuja! Nikauchuna...
Siku ya tatu nikakapigia tena, mbona hauji kakaniambia hakana nauli, nikakatumia 5000 (kumbuka hapo kanasubiri ahadi yake ya 400k) hakakuja, nikauchuna!
Ilipofika siku ya ahadi kakanitafuta mapema sanaaa, nikaambia utakuja kuchukua saa ngapu? kakasema nakuja sasa hivi, kweli chap kakanipigia kamefika eneo la tukio, nikakagegeda weeeee masaa kama 7 hivi, muda wa kuondoka nikakaambia pesa utakuja kuchukua wiki ijayo, nikakapa nauli 3000!
Kwanini nilifanya hivi?
Niligundua kameniona boya, kutaka nikatumie nauli then hakaji, na 400k niliyotaka kukapatia nikakapotezea! Bradi bronkeniii, instanbull!