suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
Mdogo wangu, Pole ila bado una safari ndefu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishashauriwa "nisioe mke ambae nimeunganishwa na rafiki angu" sasa ww unataka kumuunganishia mke mwezio ili ukitaka kupasha kiporo iwe rahisi[emoji12]Kama yeye ana 21 wewe haujafika 23 means una 22.
Ushauri wangu mimi njoo pm nikupe namba ya mtoto mkali wa kienyeji muelewa.
Utoto unawasumbua nyie! Hakuna muoaji wala muolewaji hapa.Nina mpango baada ya miaka mitatu nione, nipo kwenye mahusiano na msichana flani hivi ambao kabila lao linasfika kwa viburi, ana umbo na ni mzuri kiasi.
picha linaanza anapenda sana kula na mm napenda mtu anaependa kula na namjali kwa kula mpaka ndugu zao wanasema kanenepa, ata mm ninae