Mahusiano pasua kichwa

Kama yeye ana 21 wewe haujafika 23 means una 22.

Ushauri wangu mimi njoo pm nikupe namba ya mtoto mkali wa kienyeji muelewa.
Nishashauriwa "nisioe mke ambae nimeunganishwa na rafiki angu" sasa ww unataka kumuunganishia mke mwezio ili ukitaka kupasha kiporo iwe rahisi[emoji12]
 
Utoto unawasumbua nyie! Hakuna muoaji wala muolewaji hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…