Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
From 34 to 48 years of age kibongo bongo ni wanaume ambao wako kwenye ndoa tayari. Walio single katika umri huo ama wameumizwa na mapenzi, wametaliki au kipato kinawasumbua, hawawezi kuoa. All in all nakutakia kila la kheri. Mwenye Mungu akujalie takwa lako litimie, upate mume bora wa maisha yako.Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate
Sifa za mwanaume awe na
-Umri 34-48
-Asiwe na mke
-Awe anaejishughulisha ameajiriwa au kujiajiri
-Asiwe mlevi
Usikatishwe tamaa, jambo hili ni jepesi machoni pa Bwana.Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate
Sifa za mwanaume awe na
-Umri 34-48
-Asiwe na mke
-Awe anaejishughulisha ameajiriwa au kujiajiri
-Asiwe mlevi
Mkuu kwa umri wako ulionao na kwa idadi ya mechi ulizocheza haipaswi kuchaguwa mume..Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate
Sifa za mwanaume awe na
-Umri 34-48
-Asiwe na mke
-Awe anaejishughulisha ameajiriwa au kujiajiri
-Asiwe mlevi
Watu wanaanzaga hivihivi kuwa wachawi.Mkuu kwa umri wako ulionao na kwa idadi ya mechi ulizocheza haipaswi kuchaguwa mume..
ulipaswa ulegeze masharti.
Na kwa umri huo na ni mfanyakazi wa government,, jiandae kuolewa na mariioo.
Mpenda mserereko.
Lakini kwa mwanaume mtafuta mke,,huwezi kumpata kwa masharti tena ukiwa na umri huo,,
Hapo lazima utaweka kigezo cha huliwi hadi ndoa ipite.
Nalo pia ni tatizo jingine kubwa.
Nakukumbusha mkuu,,,,
-- kuoa mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka 30 ni sawa na kununuwa gazeti jioni...
-- thamani ya mwanamke hushuka kulingana na idadi ya mechi alizocheza kabla ya ndoa.
Kwa umri wako utakuwa na mechi nyingi sn ulizocheza.
Mwanamke umri miaka 32.
-- matches alizocheza 300 .
---goals alizofungwa. 1500.
Bado unajiona ni kinda?
Endelea kuchaguwa mkuu.
Mkuu kwa umri wako ulionao na kwa idadi ya mechi ulizocheza haipaswi kuchaguwa mume..
ulipaswa ulegeze masharti.
Na kwa umri huo na ni mfanyakazi wa government,, jiandae kuolewa na mariioo.
Mpenda mserereko.
Lakini kwa mwanaume mtafuta mke,,huwezi kumpata kwa masharti tena ukiwa na umri huo,,
Hapo lazima utaweka kigezo cha huliwi hadi ndoa ipite.
Nalo pia ni tatizo jingine kubwa.
Nakukumbusha mkuu,,,,
-- kuoa mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka 30 ni sawa na kununuwa gazeti jioni...
-- thamani ya mwanamke hushuka kulingana na idadi ya mechi alizocheza kabla ya ndoa.
Kwa umri wako utakuwa na mechi nyingi sn ulizocheza.
Mwanamke umri miaka 32.
-- matches alizocheza 300 .
---goals alizofungwa. 1500.
Bado unajiona ni kinda?
Endelea kuchaguwa mkuu.
Umeanza kumdhihaki mapema sana, utaweza kuishi nae kama mke kweli wewe ?, au unafurahisha genge ?, mtafute mume kuwa makini na watu kama huyu,Mkifikisha 30+ lazima mlete matangazo humu, anyway njoo pm tuyajenge
@Rebeca 83!NONSENSE