Mahusiano serious(Mume)

Mkifikisha 30+ lazima mlete matangazo humu, anyway njoo pm tuyajenge
 
Vipi jeshi lipo la kutosha?? kikao no 20 cha 2020 kauli mbiu" " mwanamke kukosa msambwanda wa kutosha ni sawa na nchi kukosa jeshi"😂😂
 
From 34 to 48 years of age kibongo bongo ni wanaume ambao wako kwenye ndoa tayari. Walio single katika umri huo ama wameumizwa na mapenzi, wametaliki au kipato kinawasumbua, hawawezi kuoa. All in all nakutakia kila la kheri. Mwenye Mungu akujalie takwa lako litimie, upate mume bora wa maisha yako.
 
Njoo PM kuna brother angu fulani naona mtaendana.

Note: Ni bro sio mimi!
 
Kila la kheri, nafanya mazoezi ya kuacha mtungi week hii nikiweza nitarudi. Aaah kumbe na umri ni kuanzia 34 basi tena.
 
Asiwe mlevi
Asiwe na mke
Awe ameajiriwa au kuniajiri


SAWA ....ILA kazi haioi wala kuniajiri. Ulevi pia

POINT OF CORRECTION
SEMA AWE RIJALI.... PERIOD
 
Usikatishwe tamaa, jambo hili ni jepesi machoni pa Bwana.
 
Mkuu kwa umri wako ulionao na kwa idadi ya mechi ulizocheza haipaswi kuchaguwa mume..
ulipaswa ulegeze masharti.

Na kwa umri huo na ni mfanyakazi wa government,, jiandae kuolewa na mariioo.
Mpenda mserereko.
Lakini kwa mwanaume mtafuta mke,,huwezi kumpata kwa masharti tena ukiwa na umri huo,,

Hapo lazima utaweka kigezo cha huliwi hadi ndoa ipite.
Nalo pia ni tatizo jingine kubwa.

Nakukumbusha mkuu,,,,

-- kuoa mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka 30 ni sawa na kununuwa gazeti jioni...

-- thamani ya mwanamke hushuka kulingana na idadi ya mechi alizocheza kabla ya ndoa.
Kwa umri wako utakuwa na mechi nyingi sn ulizocheza.

Mwanamke umri miaka 32.

-- matches alizocheza 300 .
---goals alizofungwa. 1500.
Bado unajiona ni kinda?

Endelea kuchaguwa mkuu.
 
Watu wanaanzaga hivihivi kuwa wachawi.
 

NONSENSE
 
Mkifikisha 30+ lazima mlete matangazo humu, anyway njoo pm tuyajenge
Umeanza kumdhihaki mapema sana, utaweza kuishi nae kama mke kweli wewe ?, au unafurahisha genge ?, mtafute mume kuwa makini na watu kama huyu,
 
Ila ndoa sikuhizi zimekuwa kama ajira kwa wadada jamani doh 😳😳, poleni wadada wooote mnaopitia hii changamoto, hata sijui tatizo ni nini
 
Mbona wakristo tu jamani ,Nyie madada wa Kiislam acheni kutubania.
Wekeni Uzi basi Maana tunakosa sifa huku
 
Sina mtoto wala sinywi pombe utaeza subiria miaka 8 nifikishe hiyo miaka 34 wife material
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…