Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Nina mjua Binti yupo Mbeya kazaa na miaka 12
Namjua Binti yupo Tunduma alizaa na miaka 15 na mwengine 14

#YNWA
 
Sawa mkuu

""Mwanafunzi wa kidato cha tatu wilayani Arumeru mkoani Arusha mwenye umri wa miaka 15 ambaye alitoroka nyumbani kwao kwa zaidi ya siku 30, amerejea akiwa na ujauzito na kudai amefukuzwa na fundi Gereji aliyekuwa anaishi naye Kinyumba mkoani Kilimanjaro.""


#YNWA
 
nimeelewa mkuu
 
Tatizo liko kwako, haujiamini. Inaweza kuwa an inborn thing au makuzi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…