Mahusiano ya kimapenzi yananitesa

Baadae atakuambia ameshindwa kutoroka ngoja aolewe kwa mwaka mmoja tu halafu atakuja kwako. Ushauri shituka acha kuamua mambo kwa hisia, hicho Kiwanja tayari kinamgogoro usinunue.
Sante sana kwa ushauri ndugu yangu
 
Baadae atakuambia ameshindwa kutoroka ngoja aolewe kwa mwaka mmoja tu halafu atakuja kwako. Ushauri shituka acha kuamua mambo kwa hisia, hicho Kiwanja tayari kinamgogoro usinunue.
Sante sana kwa ushauri ndugu
 
Kwanza mleta mada anaonekana hana pesa.
Boss pesa ninayo kwa kiasi chake namiliki vitu vya thamani vingi tu nanilikua nimesha muandalia mpaka ofisi ya ndoto zake japo nilikua sijamuonyesha mpaka nitakapo muoa lakini kwa mtindo huu ambao nimeuona siwezi kuwa nae tena. Hivyo vitu vyangu vimepona
 
Sante
Sante sana kwa ushauri ndugu
 
Wewe ulikuwa na mpango wa kumuona lini?
Mmehusiana Kwa muda Gani?
If you can't fight for your love, mwache Binti wa watu aende naona aliempata amenyooka Hana konakona
Mimi sikua na kona kona nasija mkalisha muda mrefu hata
 
Mtu anaekupenda ukweli utamuona tu wala huhitaji nguvu kubwa kumjua. Anakupa sababu za kitoto na wewe unaamini, utakuja shtuka muda ukiwa si rafiki tena.
Sante Sana ndugu kwa ushauri
 
Usimpende sana kupita kiasi
 
NAKAZIA
 
Kama day one unamgonga hukumkuta bikra achana nae mke wa mtu huyo, ata ukimuoa ataliwa tu
Kama day one unamgonga hukumkuta bikra achana nae mke wa mtu huyo, ata ukimuoa ataliwa tu
 
Hiyo tunaita ngoma ndani ya ngoma wazazi ndio wanacheza hiyo gemu kupitia kwa mtoto wao...Wazazi washakula mpunga kwa muhuni kwa hiyo lazima ng'ombe wao aende mnadani..
 


Uache upumbavu, acha huyo mwanamke
 
Ni shida sana kumshauri mtu kuhusiana na suala la mapenzi, lakini Mimi nikutakie maamuzi mema yatakayoacha moyo wako kuendelea kuwa na Amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…