Mahusiano ya kimapenzi yananitesa

Mahusiano ya kimapenzi yananitesa

Baadae atakuambia ameshindwa kutoroka ngoja aolewe kwa mwaka mmoja tu halafu atakuja kwako. Ushauri shituka acha kuamua mambo kwa hisia, hicho Kiwanja tayari kinamgogoro usinunue.
Sante sana kwa ushauri ndugu yangu
 
Baadae atakuambia ameshindwa kutoroka ngoja aolewe kwa mwaka mmoja tu halafu atakuja kwako. Ushauri shituka acha kuamua mambo kwa hisia, hicho Kiwanja tayari kinamgogoro usinunue.
Sante sana kwa ushauri ndugu
 
Kwanza mleta mada anaonekana hana pesa.
Boss pesa ninayo kwa kiasi chake namiliki vitu vya thamani vingi tu nanilikua nimesha muandalia mpaka ofisi ya ndoto zake japo nilikua sijamuonyesha mpaka nitakapo muoa lakini kwa mtindo huu ambao nimeuona siwezi kuwa nae tena. Hivyo vitu vyangu vimepona
 
Sante
Umeshamaliza niliyotaka kuandika hapa.
Uzi ufungwe.
Ndugu mtoa mada kaa mbali na huyo mwanamke atakutesa sana na familia yake pia itakutesa sana maana haikutambui au hata kama wanakutambua hawakutaki wanamtaka mtu mwingine.
Kwa hiyo ukilazimisha kuendelea na huyo mwanamke utakuwa ni mtu wa mateso miaka nenda rudi,huyo mwanamke atakuwa anakutesa kisha baadae anakuomba msamaha kisha anakwambia sio yeye anayesababisha mateso yako ila ni ndugu zake,wanawake hawanaga msimamo wa moja kwa moja
Sante sana kwa ushauri ndugu
 
Wewe ulikuwa na mpango wa kumuona lini?
Mmehusiana Kwa muda Gani?
If you can't fight for your love, mwache Binti wa watu aende naona aliempata amenyooka Hana konakona
Mimi sikua na kona kona nasija mkalisha muda mrefu hata
 
Mtu anaekupenda ukweli utamuona tu wala huhitaji nguvu kubwa kumjua. Anakupa sababu za kitoto na wewe unaamini, utakuja shtuka muda ukiwa si rafiki tena.
Sante Sana ndugu kwa ushauri
 
Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali.

Ikaendaa yule jamaa akakaa muda mrefu Sana bila kutangaza uchumba, yule mwanamke akakata tamaa ndio tukakutana natukaanzisha mahusiano tukaanza kupendana Sana, sasa mwezi uliopita jamaa ameibuka tena kaenda kwa wazazi na kwa mchungaji mwanamke amejaribu kukataa lakini kutokana na wazazi wake niwatata sana ameshindwa kukataa maana anadai wanamfosi kuolewa namtu ambae amesha mtoa moyoni wakati moyo wake upo kwangu, na uchumba unatangazwa jumapili hii.

Ameniambia anatangaza uchumba lakini kuolewa hataolewa yupo tayari kutoroka na mimi,, sasa nimejikuta napitia maumivu makali Sana maana nampenda sana naombeni ushauri wadau
Usimpende sana kupita kiasi
 
Mwanamke hajalazimishwa na wazazi mzee ila anampenda huyo jamaa ila hawezi kukutamkia moja kwa moja pengine anaogopa kukupa jibu litakalo kuumiza.

Ikishafika hatua hiyo cha kwanza fungua moyo na usilazimishe chochote kinachotakiwa ni kumwambia achague moja yupo na wewe au anaenda kwa jamaa na jibu lolote ulipokee kiroho safi akienda kwa mwana mtakie maisha mema na uendelee na maisha yako kiroho safi.

Epuka sana kujidhalilisha na kujitoa thamani kwa kulazimisha mtu akuone bora wakati yuko mtu bora kwake zaidi yako.
NAKAZIA
 
Kama day one unamgonga hukumkuta bikra achana nae mke wa mtu huyo, ata ukimuoa ataliwa tu
Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali.

Ikaendaa yule jamaa akakaa muda mrefu Sana bila kutangaza uchumba, yule mwanamke akakata tamaa ndio tukakutana natukaanzisha mahusiano tukaanza kupendana Sana, sasa mwezi uliopita jamaa ameibuka tena kaenda kwa wazazi na kwa mchungaji mwanamke amejaribu kukataa lakini kutokana na wazazi wake niwatata sana ameshindwa kukataa maana anadai wanamfosi kuolewa namtu ambae amesha mtoa moyoni wakati moyo wake upo kwangu, na uchumba unatangazwa jumapili hii.

Ameniambia anatangaza uchumba lakini kuolewa hataolewa yupo tayari kutoroka na mimi,, sasa nimejikuta napitia maumivu makali Sana maana nampenda sana naombeni ushauri wadau
Kama day one unamgonga hukumkuta bikra achana nae mke wa mtu huyo, ata ukimuoa ataliwa tu
 
Hiyo tunaita ngoma ndani ya ngoma wazazi ndio wanacheza hiyo gemu kupitia kwa mtoto wao...Wazazi washakula mpunga kwa muhuni kwa hiyo lazima ng'ombe wao aende mnadani..
 
Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali.

Ikaendaa yule jamaa akakaa muda mrefu Sana bila kutangaza uchumba, yule mwanamke akakata tamaa ndio tukakutana natukaanzisha mahusiano tukaanza kupendana Sana, sasa mwezi uliopita jamaa ameibuka tena kaenda kwa wazazi na kwa mchungaji mwanamke amejaribu kukataa lakini kutokana na wazazi wake niwatata sana ameshindwa kukataa maana anadai wanamfosi kuolewa namtu ambae amesha mtoa moyoni wakati moyo wake upo kwangu, na uchumba unatangazwa jumapili hii.

Ameniambia anatangaza uchumba lakini kuolewa hataolewa yupo tayari kutoroka na mimi,, sasa nimejikuta napitia maumivu makali Sana maana nampenda sana naombeni ushauri wadau

Uache upumbavu, acha huyo mwanamke
 
Ni shida sana kumshauri mtu kuhusiana na suala la mapenzi, lakini Mimi nikutakie maamuzi mema yatakayoacha moyo wako kuendelea kuwa na Amani
 
Back
Top Bottom