Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 413
- 1,868
Anakupenda sana eeeeh, au sio?Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana
Huyo usimuache, mng'ang'anie hadi umuoe, Mwanaume unaacha vipi demu aolewe na mwingine wakati anakupenda wewe.
Nenda home kwao kajitambulishe, waambie binti anakupenda na mpo tayari kuoana. Wakizingua Mtoroshe.
Yajue ya kuzingatia, uache kuumia kwenye vitu vya kijinga.