Mahusiano ya mtandaoni

Msifanye ivo bana,tupambane na kauzi ketu ,ako kamkono kasiwavuruge ata[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hahahaha,sio vizuri ana familia mwenzio yule[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nina aunt yangu jamani anawasumbua waha!!!!

Anadaiwa mpk anajificha chini ya uvungu wa kitanda, kuna siku muuza vyombo alitaka kuondoka na mtoto wake kisa deni lake limekaa muda mrefu
 
Nimecheka, Muha kajiongeza[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mbona hujasema hlo kosa
 
Hii story haitakuwa na maana yoyote kama hukutaja chanzo cha ugomvi wenu.
 
Hahahah,nipo job wangu,nilitaka tu kumtoa hofu jombaa hapo aliona mempa chai ya tangawizi ,afu sukari kwa mbali sana
Pamoja sana chalii angu, mzuka kinyama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]
 
Pole mkuu japo ulikurupuka kufanya maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…