Mahusiano ya mtandaoni

Nakusikiliza wewe babe, kwanza video call muhimu nijiridhishe nisije kumeet na blaza K [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Meeting point Ni ile ile mlimani city au tubadilishe.

Fanya nilete ushuhuda jukwaani mapema.

Vielelezo vingine utavichukua kwa mywani wangu Antonnia
 
Meeting point Ni ile ile mlimani city au tubadilishe.

Fanya nilete ushuhuda jukwaani mapema.

Vielelezo vingine utavichukua kwa mywani wangu Antonnia

Mlimani city pashakua common tutakutana na Mpwayungu atufotoe atulete hapa wima wima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nitakwambia pa kukutana babe na ushuhuda lazima ulete [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimepoteza access ya kuingia account yangu ya zamani,ila humu nipo kitambo,huoni narefer majina ya wakongwe kina deep pond,kwaio sio kama mgeni,ni mgeni mwenyeji
Ukishaingia humu hutoki tena utakua bize kwa wakati flan then utarudi tu
 
Mlimani city pashakua common tutakutana na Mpwayungu atufotoe atulete hapa wima wima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nitakwambia pa kukutana babe na ushuhuda lazima ulete [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatimaye! Maaji ya bahari ya nasaidia sana
 
Nilikuwa nimeenda kufanya IELTS Test miaka hiyo nipo chuo, invigilator wangu alikuwa mdada hivi, kazuri sana kalikuwa. Kalikuwa na badge na jina lake, nikajisemea huyu kwa hapa siwezi pata kitu, ila nakariri jina. Nilivyomaliza nikaenda zangu ghetto nikaingia online nikasearch jina, mara paap jina na picha kama nilivyomuona...
....Kilichofuata...it was my first ever online hookup...and ever since ilikuwa mwendo wa online tu!!😁
 
Mdogo wangu, kumbeeee....hongera sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…