Mahusiano ya mtandaoni

Mahusiano ya mtandaoni

Umenigusa, ngoja niweke shuhuda. Mm nlicomment page fulan ambapo mtu alkua anatafuta mke. Kaweka kigezo asiwe kibonge. Basi nikacomment akitokea anayetaka vibonge mnishtue. Watu wakalike wakacheka palee. Nakuta dm asalaam aleykum ndo nmekuja. Nkaulza wap mana kama wiki imepta skumbuk ni about post. Akasema si ulisema wanaotaka vibonge waje ndo nmekuja. Nkachukulia masihara nkamwambia asinitanie nkawaza kaz yake m na watu wanaojulikana wap na wap. Nkahisi atakua mtu wa club etc loh asalalee. Thank God nlimpa namba. Chat sana sku tunaonana nlkua na butterflies tumbon balaa sijiamin. Aliponikiss uwii😋 best kisser. Kama aliona hofu yang ilichukua mwez ndo akala tunda. He is so caring. Sijawah pendwa vile toka nazaliwa. Mapepe yote nimeacha. Mungu alinde penzi letu inshallah. Asante insta
 
Umenigusa, ngoja niweke shuhuda. Mm nlicomment page fulan ambapo mtu alkua anatafuta mke. Kaweka kigezo asiwe kibonge. Basi nikacomment akitokea anayetaka vibonge mnishtue. Watu wakalike wakacheka palee. Nakuta dm asalaam aleykum ndo nmekuja. Nkaulza wap mana kama wiki imepta skumbuk ni about post. Akasema si ulisema wanaotaka vibonge waje ndo nmekuja. Nkachukulia masihara nkamwambia asinitanie nkawaza kaz yake m na watu wanaojulikana wap na wap. Nkahisi atakua mtu wa club etc loh asalalee. Thank God nlimpa namba. Chat sana sku tunaonana nlkua na butterflies tumbon balaa sijiamin. Aliponikiss uwii[emoji39] best kisser. Kama aliona hofu yang ilichukua mwez ndo akala tunda. He is so caring. Sijawah pendwa vile toka nazaliwa. Mapepe yote nimeacha. Mungu alinde penzi letu inshallah. Asante insta

Kumbe shogare ulifanikiwa kupata kibonge wako na hukutupa tips wenzio khaaaaaaa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]
 
Baada ya kusoma visa vingi humu nimegundua Vijana mmerahisishiwa sana maisha ya mahusiano na TEHAMA.

Ukiwa serious, unaweza kupata Mke au Mume humu humu mitandaoni, muhimu mjue lengo la mahusiano yenu ni yapi.

Kuna wakati hadi natamani Umri ungerudi nyuma kidogo walau namimi nijaribu kutupia Vocal huko PM walau nipate cha kuhadithia, lakini kwa umri huu wa miaka 78 Mdada gani atakubali kukutana na Mzee wa Umri wangu, Mvi za kutosha kichwani, Sura ina makunyazi, na hii miwani yangu mikubwa ya macho jamani si atasema namtisha 🤪
Hela unayo au hauna.......ukiwa na hela tunakuita daddddiii🤪
 
Picha wanatupiga piem sio wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanataka tuonane tukutane na vitu vya ajabu vinywaji visishuke tupaliwe [emoji2222][emoji2222]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mambo haya ni imani jamani
 
Back
Top Bottom