Mahusiano ya mtandaoni

Jamani anahoja huyu asikilizwe
 
No ni facebook miaka hiyo ya 2012-2017, fb imenipa watu fulani hivi ni real sana. Kuna mmoja nmekutana nae mwaka jana baada ya kufahamiana mtandaoni kwa miaka 11, amekuwa kama ndugu kwangu kabisa na yeye nilianza kufahamiana na dada yake pia.
2015 nilikutuna na mwana facebook kwa sasa tumekuwa ndugu kabisa
Hii mitandao watu ni wale wale
Muhimu usiogope kujaribu bahati yako iko upande gani
 
Duuuh sisi wengine tutaishia kuwaonea wivu tu πŸ˜…πŸ˜πŸ˜
 
Dah inaonekn umepitia life lenye experiences tofaut tofaut kuuza uji kulala chini anyway kweli dunia mapito muhimu kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…