Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua pmKaribu sana
Muone 😃😃😃,, iko bannedFungua pm
[emoji1787][emoji1787]Umeanza kunikataa mapemaMuone [emoji2][emoji2][emoji2],, iko banned
Sio kweli 😃😃[emoji1787][emoji1787]Umeanza kunikataa mapema
Jamani anahoja huyu asikilizweNgoja waje..sie wengine tunakutanaga vituo vya daladala tunakimbiwa[emoji38][emoji38]
Ukiomba buku tu ya salio limekuishia unashangaa uko blocked[emoji38]
NB:situmii mitandao yoyote wala sijipost na sijawahi hayo mahusiano.ndo nasubiri Jf kama itanibariki haya
Sawa nicheki normally callSio kweli [emoji2][emoji2]
Namba yako haipatikaniSawa nicheki normally call
0718569091Namba yako haipatikani
Basi sawa...imeisha hiyo 😊🤗0718569091
kawaida mkuu ila hii mitandao kuna muda unaweza pata mtu sahihi kuna siku nitaleta kisa changu cha mahusiano ya mitandaoni, ni best experience mpaka sasa.ulijiona kidume sio😂
No ni facebook miaka hiyo ya 2012-2017, fb imenipa watu fulani hivi ni real sana. Kuna mmoja nmekutana nae mwaka jana baada ya kufahamiana mtandaoni kwa miaka 11, amekuwa kama ndugu kwangu kabisa na yeye nilianza kufahamiana na dada yake pia.ni mtu wa jf??
nitaweka after 2030usisahau kunitag😂
OkBasi sawa...imeisha hiyo [emoji4][emoji847]
2015 nilikutuna na mwana facebook kwa sasa tumekuwa ndugu kabisaNo ni facebook miaka hiyo ya 2012-2017, fb imenipa watu fulani hivi ni real sana. Kuna mmoja nmekutana nae mwaka jana baada ya kufahamiana mtandaoni kwa miaka 11, amekuwa kama ndugu kwangu kabisa na yeye nilianza kufahamiana na dada yake pia.
upo sahihi kabisa mkuu, kuna watu sahihi ni vile hofu ni kubwa kwa watu wa mitandaoni.2015 nilikutuna na mwana facebook kwa sasa tumekuwa ndugu kabisa
Hii mitandao watu ni wale wale
Muhimu usiogope kujaribu bahati yako iko upande gani
Duuuh sisi wengine tutaishia kuwaonea wivu tu 😅😝😝Me tulikutana marafiki.com enzi hizo sasahivi ni mume wa ndoa 10years, kwa kweli sijawahi juta kukutana na huyu kaka, it was fate. Japo halikuwa lengo langu kuwa na mtu kutoka kwenye mtandao na nilikuaga naponda sana hilo swala jamani maisha haya😛, kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto 😀 na kwenye profile yangu niliandika nina mahusiano so nisisumbuliwe, na nilikuaga sijibu msg za dm wala sizisomi nikifungua nafuta zooote. Sasa kuna jina lilikuwa linajirudia sana, yani kila nikisema nifungie kufuta msg lazma nione msg yenye hilo jina, siku moja nikaamua kufungua msg yake, nikakuta salam tu, nikaijibu then nikafuta, sasa ikawa kila nikifungua lazma nikute kanisalimia, na mimi najibu salam basi. Siku moja akaniomba namba ya simu nikamwambia sina simu, alijua nimemdanganya ila hakulazimisha tukaendelea na salam tu dm, kuna kipindi akapotea i ddnt bother kumtafuta nikamsahau. Akaja akaibuka tena, akaniomba tena namba nikakataa tena, akaomba atleast email address, hiyo nikampa, enzi zile za yahoo messenger, so tukawa tunawasiliana huko japo si sana, mana hakuwa muongeaji sana, tukaenda hivyo for almost a year, akaniomba tena namba ya simu akasema hii ni mara ya mwisho kama kweli sina simu yuko tayari kununulia ila kama namnyima tu namba basi hatanisumbua tena kuhusu hilo, baada ya siku 2 nikampa namba, mawasiliano yetu yakaanzia hapo,it took me 6 months kukubali kuonana nae, mana nilikuaga muoga sana. But that day nilipokutana nae, katika kuongea akaniambia i will marry you next year tarehe fulani na mwezi fulani, i thout he was joking. But he wasnt joking, kweli mwaka uliofuatia tarehe ile ile na mwezi ule ule aliosema tukafunga ndoa Takatifu pale St. Joseph, and it has been an amaizing 10 years of marriage. Bcz he is everything i ever wanted, huwa nasema ni Mungu tu sio hivi hivi.
Dah inaonekn umepitia life lenye experiences tofaut tofaut kuuza uji kulala chini anyway kweli dunia mapito muhimu kupambanaMNIGERIA
Here we go [emoji3059].Basi hekaheka za dating app zinaendelea siku moja pitapita zangu hapa na pale nikamatch na mnigeria huyo picha alikua mtu wa maana bonge la bwana kala kaunda sut nini hapo magari makali simu kali we nikasema mambo yangu haya hapa pesa ipo Ntaomba tu ngoja nimpee time
basi bwana nikamacth na myoruba tukachat tukaamia watsapp bas story za hapa na pale nin na mim binasfi huwa sidili na wanaoanza na neno hookup ninatype yangu naitaka wakaka wastarabu nikitupa jiwe lzima limpate najifanya malkia sina shida kumbe [emoji1787][emoji1787]
Basi katika kuchat na myoruba akanisihi sana niende kwake kwakua hakutangaza ngono maana yake ni just meeting tule na kupiga story
Shoga enu sasa nikavaa verewere nikapendeza nikarzquest bolt huyo mpka upanga hapo fika pale eeeh ss mnigeria huyu mbona anakaa studio apartment kama kawaida yangu aaah atajua mwenyewe mie ngoja nikamuone
Nikampigia hlw nimefika akasema panda lift mpka floor flan jamn nilipanda lift hapo kuna tuwatu twa maana nikafika juu nikamkuta mniger wangu kafungua mlango ananisybiri koridoni
mtume roho yangu jamani kumuona hivi yule baba ni anamwili mkubwa sijawahi ona live yan yeye ndo wa kwanza kumuonakwa macho ya nyama nje ya Tv
Baba ni mrefu mpana kama mpana tena yani me shoga enu ni mrefu na ninakimwili kati lkn kwa yule baba nilikua mtoto wa form 1 D sasa nilihis joto huku na mfuata the guy alikua anaguna kama waganga wanigeria wa kwenye movie like mmmmh mmmh mmh yan nikama ana apricciate mali safi imekuja
akanikalibisha ndani uwii natetemeka mpaka meno yagongana akasema areyou okay ama nizime AC yan nilikua sielewi sasa natapatapa akiguna ule mguno wake mim nastuka[emoji23]
Yule baba akaenda kukaa kwenye kiti akanigeukia akaniuliza vip hujanipenda
Nikajibu no kwann unasema hivo akasema nakuona umepoa sana mim ni mtu mzuri ty kuwa na amani dear kidogo tena akaguna mmmmmh mmmh fine girls fine girl kama chief onkwonkwo Huku ananitazama analiza umri wangu na mambo mengine
najichekesha tu nimekua mdogo namuogopa yan anamwili mkubwa hakuna aiseee sauti kubwa niliwaza nisipotilewa figo leo sjui na ilikua mara yakwanza n mwisho kuingia ndani kwa mtu maana nilizoea outdoors tu nukaona nimuulize dear honestly wew na picha ni tofauti yani your too big hahaa nakichekesha
Alcheka kicheko kikali we mim nikabinya macho sauti nzito eti kwel kwahiyo hapa me mkubwa
Nikitupa jicho mkono wake jaman kiganja ni mikon yangu mitatu mguu wake khaa yule ni gient
Basi akanipa story za hapa na pale kwanza hata nilikua sizielewi nawaza tu niombe hela nisepe zangu akadai yeye ni pasta sijui nin hapo akanifundisha kumtegemea Mungu akanipa mifano yake alimuamini Mungu na alimuona na vifungu vya biblia akanisimulia yy alikuja bongo akawekeza katilka hizi microfinace na mwisho watz kulipa ikawa mtihaani kwahiyo amefilisika mnoo
Akasema hapa nilipo nina elfu 50 tu nimepewa na rafiki angu yani hiyo kauli ndo aliharibu kabisa na mood ya story ilikata me sipendi poteza muda afu umeniita chumban kwamba uniombe kipochi manyoya na hiyo 50 yako unaleta janja janja za nyani huli kitu hapa nilimtathimin moyoni sijawahi kuliwa bure kizembe huyu mniger analeta janja huyu we ngoja
Nikawa tu humble huku nikiwaza hiyo elfu 50 tutagawana ip mimi nayy[emoji23][emoji23][emoji23] shoga enu nina tamaaa mnisamehe tu na poleni me nilivomuona nilijua tutaonana ni getlemen tupige story nimuombe tupite super market nifanye shopping maana ni mbaba si unajua wababa waelewa kumbe nae njaa tu yan ananipa story yake me mwenyewe nina magumu kibao wazazi sina naelewa basi naishi kwa akili nishalala njaa sana nishalala chini natandika nguo nishapenda sana nikatendwa,nishakataliwa nikasemewa uongo,nishakaa kwa marafiki nikafukuzwa,nishatembeza uji,nimesoma sina kazi mambo mengi nimelia sshiv nimezoea nimetoboa nisababu niliamuakuwa jasiri natumia tu akili na kujituma na Mungu nimetoboa yy ananisimulia vitu naona vidogo afu kama anaipotezea muda hata msosi haitishi
hivi huyu anasimulia shida zake tu hapa mwili mkubwa hivo anashindwa kubeba mambo kama hayo me nimsaidie nin sasa ninshida zangu kibao nawaza huku natazama guu lake la futi 7 limepauka hatari halina futa afu ananiitaje hana hela hata kama ni story kwanza sijala story sielew ye mwenyewe anatisha anatishia tu hapa
Yule baba akasimama akaja kitandani kwanza alinipa korosh zinapili pili ya dunia nikashindwa na urafi wangu akanipa juice kisha akaja kukaa kitandan pembeni yangu maana studio apertment ni chumba kimoja kina choo na sehem ya kupikia
Basi alipokaa kitanda kikalalamika kakakaka we nikainuka najichekesha eeh nilijua chadondoka hivo akacheka wala kaa tu nikashusha pumzi nikameza mate eeh huyu nimuagaje mm sitaki kukaa hapa mm
Najiyliza mbona kanifuata jamani tena huyu baba me mtoto wa binadam mwenzie anataka nini na huo mwili kama sio kuniua mimi jaman
Akasema my dear last time umefanya check up ni lin nikasema juzi shoga enu sasa [emoji23][emoji23] sijawahi hata kupima na sina mpango etu naomba tupime tena
We nikamwambia baba pima mwenyewe kama unataka kujua afya yako unipimishe na mimi kwn unataka tufanye nin kupima ni hiali tu kashasema [emoji1787][emoji1787] anavotisha mweusi hatari sauti kama radi
Nikagoma akasimama kufuata vipimo moyo uliniruka mm jaman nilipiga hesabu nikimbie nikazungusha macho naona anaviatu pea 3 kama vya tandale vya 200 ukiwa saa 10 asubuhi [emoji23][emoji23] nyie yan sikuona cha maana anachomiliki
Wakati namchunguza mara paa kaja na vipimo me nikaendelea kugoma kwamba sitaki jamn hakuongea kitu alinikamata mkono akanivuta relax akanitoboa chwaa ewii[emoji15][emoji15]
Missy Gf Just Nana