Mahusiano ya mtandaoni

Kwani kuonana lazima😂😂
 
@yoga na Just Nana ni mtu mmoja au mtu na mdogo wake.
 
Jamani na mimi mnifundishe kudate online nisipitweee..!
 
Filters za Kwenye simu ziliharibu kila kitu aisee, mtu unaomuona Kwenye picha kapendeza kumbe kajiedit kuanzia shape,rangi na sura.

Sasa nenda kakutane nae live live ndo uone maajabu.

Wanaume hatunaga hizo Mambo za filters.Jinsi ulivyomuona kwenye picha ndivyo atakavyokuwa tu ukikutana naye live.
 
Hongera sana
 
Hiyo body count ni kubwa sana duuh
 
Duuh
 
Tupe kisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…