Mahusiano ya mtandaoni

Mahusiano ya mtandaoni

Mimi hapa jf wapo watu kama 3 huwa tunawasiliana mpaka na no tumebadilishana lkn mpaka leo hatujawahi kuonana,yupo mmoja nadhan amebadili I'd wakati tumeanza kuwasiliana alikua mkoa tofauti na nilipo but baada ya kurudi mkoa ninaoishi huwezi kuamini sijawahi kuonana,
Kwani kuonana lazima😂😂
 
Wasalam wapendwa,

Jana wakati nalala kuna moment ilinijia kichwani, nikajikuta nacheka kwa nguvu sana, miaka kadhaa nyuma nilipata mpenzi kupitia mtandao, ulikua ni Instagram.

Niwe tu muwazi sikua serious na hayo mahusiano ila nilitaka tu kufahamu inakuajekuaje ,mi ni mtu naependa kujaribu vitu kadha wa kadha, wale mama nisipitwe na jambo, ili mradi halidhuru afya, sipendagi kusimuliwa kwakweli.

Basi bhana, katika kupost tupicha twangu kadhaa, kuna mwamba akawa analike karibia kila post, akawa amenifollow pia, offcourse he was totally stranger, never knew him before, we just met on Instagram.

Days go on, urafiki ukakua hadi nisipoingia insta akawa anaacha text DM ,like 'are u good' , alot of halla and so on.

Ikafika point akaomba namba just to check on me kwa time sipo online, na kupata kufahamiana zaidi plus kuweza kuchart watsaap, nikaona sio mbaya nikampa namba baada ya kuangalia picha zake na kufatilia vitu anapost, watu anakua nao na mambo kama hizo.

Basi bhana maukaribu yakaongezeka, kuchekiana kwa sana, mambo yakahamia watsaap sasa, jamaa anakomaa kinoma noma, miamala ikaanza kutumwa (mwanaume akifika hiki kipengele nakuaga nishampitisha kwa asilimia karibia 85), ila kumbuka sijaonana na jamaa na hana papara na hilo.

By that time jamaa alikua anafanya masters hapo chuo UDSM, nami nilikua na mishe zangu za hapa na pale hapa mjini lakini jamaa hakua na papara ya kuonana kabisa, alinambia yupo bize kwaio tuwasiliane tuuuu, kwa sababu miamala ilikua inasoma hakuna kitu ilikua mbaya.

After few good months, jamaa akanambia ana feel like ni muda muafaka wa kuonana, nilipatwa na kiraruraru balaa, ile siku nilipata usingizi kwa taaabu sana, kile kiraruraru ni zaidi ya kusubiria Necta Exams, ni zaidi ya kusubiria interview ya kazi umeisotea sana.

Hatimaye kukakucha bhana, meeting point ilikua mlimani city, alinambia tuonane saa nane mchana, maana ni muislam alitaka aingie masjid then anione, ilikua ijumaa nakumbuka kabisa.

Kwa sababu niliona ni open space nikasema sio mbaya acha nijilipue, nikahakikisha mependeza, sikwenda mbali sana na vile natokelezeaga kwa pic za insta, maana kama alipenda zile picha sidhani kama alihitaji niibuke na baibui, so nikawa tu normal ila hofu kama yote, itakuaje? asiponipenda je? Na vitu kama hizo.

Nisiwachoshe sana [emoji17][emoji17][emoji17], the meeting was successful alhamdulilah, alikua ni mzuri kuliko pic za insta, damn his camera[emoji17][emoji17][emoji17]...confidence kama ikakata hivi, nadhani aligundua hilo, akajitahidi kuniweka sawa, na kila kitu ikawa poa.

Itoshe tu kusema he was one of my best lovers, one of the best moments nilipata kwa relationships, kila tukipata wasaa ananikumbushaga 'ulijua unakuja kukutana na mtu wa aina gani mama[emoji28][emoji28][emoji28], ulikua kama umepanick hivi kuniona[emoji28][emoji28][emoji28]...'

Hebu tupe nawe experience yako ya kudate mtandaoni, mlifanikiwa kuonana, ilikuaje first meeting, was it fun or disappointing? Bado upo na huyo kiumbe?

Mine was marvellous kwaiyo ni kitu ambayo sijawahi juta kujaribu.

Wasalaaam.
@yoga na Just Nana ni mtu mmoja au mtu na mdogo wake.
 
Jamani na mimi mnifundishe kudate online nisipitweee..!
IMG-20240328-WA0777.jpg
 
Filters za Kwenye simu ziliharibu kila kitu aisee, mtu unaomuona Kwenye picha kapendeza kumbe kajiedit kuanzia shape,rangi na sura.

Sasa nenda kakutane nae live live ndo uone maajabu.

Wanaume hatunaga hizo Mambo za filters.Jinsi ulivyomuona kwenye picha ndivyo atakavyokuwa tu ukikutana naye live.
 
Wasalam wapendwa,

Jana wakati nalala kuna moment ilinijia kichwani, nikajikuta nacheka kwa nguvu sana, miaka kadhaa nyuma nilipata mpenzi kupitia mtandao, ulikua ni Instagram.

Niwe tu muwazi sikua serious na hayo mahusiano ila nilitaka tu kufahamu inakuajekuaje ,mi ni mtu naependa kujaribu vitu kadha wa kadha, wale mama nisipitwe na jambo, ili mradi halidhuru afya, sipendagi kusimuliwa kwakweli.

Basi bhana, katika kupost tupicha twangu kadhaa, kuna mwamba akawa analike karibia kila post, akawa amenifollow pia, offcourse he was totally stranger, never knew him before, we just met on Instagram.

Days go on, urafiki ukakua hadi nisipoingia insta akawa anaacha text DM ,like 'are u good' , alot of halla and so on.

Ikafika point akaomba namba just to check on me kwa time sipo online, na kupata kufahamiana zaidi plus kuweza kuchart watsaap, nikaona sio mbaya nikampa namba baada ya kuangalia picha zake na kufatilia vitu anapost, watu anakua nao na mambo kama hizo.

Basi bhana maukaribu yakaongezeka, kuchekiana kwa sana, mambo yakahamia watsaap sasa, jamaa anakomaa kinoma noma, miamala ikaanza kutumwa (mwanaume akifika hiki kipengele nakuaga nishampitisha kwa asilimia karibia 85), ila kumbuka sijaonana na jamaa na hana papara na hilo.

By that time jamaa alikua anafanya masters hapo chuo UDSM, nami nilikua na mishe zangu za hapa na pale hapa mjini lakini jamaa hakua na papara ya kuonana kabisa, alinambia yupo bize kwaio tuwasiliane tuuuu, kwa sababu miamala ilikua inasoma hakuna kitu ilikua mbaya.

After few good months, jamaa akanambia ana feel like ni muda muafaka wa kuonana, nilipatwa na kiraruraru balaa, ile siku nilipata usingizi kwa taaabu sana, kile kiraruraru ni zaidi ya kusubiria Necta Exams, ni zaidi ya kusubiria interview ya kazi umeisotea sana.

Hatimaye kukakucha bhana, meeting point ilikua mlimani city, alinambia tuonane saa nane mchana, maana ni muislam alitaka aingie masjid then anione, ilikua ijumaa nakumbuka kabisa.

Kwa sababu niliona ni open space nikasema sio mbaya acha nijilipue, nikahakikisha mependeza, sikwenda mbali sana na vile natokelezeaga kwa pic za insta, maana kama alipenda zile picha sidhani kama alihitaji niibuke na baibui, so nikawa tu normal ila hofu kama yote, itakuaje? asiponipenda je? Na vitu kama hizo.

Nisiwachoshe sana [emoji17][emoji17][emoji17], the meeting was successful alhamdulilah, alikua ni mzuri kuliko pic za insta, damn his camera[emoji17][emoji17][emoji17]...confidence kama ikakata hivi, nadhani aligundua hilo, akajitahidi kuniweka sawa, na kila kitu ikawa poa.

Itoshe tu kusema he was one of my best lovers, one of the best moments nilipata kwa relationships, kila tukipata wasaa ananikumbushaga 'ulijua unakuja kukutana na mtu wa aina gani mama[emoji28][emoji28][emoji28], ulikua kama umepanick hivi kuniona[emoji28][emoji28][emoji28]...'

Hebu tupe nawe experience yako ya kudate mtandaoni, mlifanikiwa kuonana, ilikuaje first meeting, was it fun or disappointing? Bado upo na huyo kiumbe?

Mine was marvellous kwaiyo ni kitu ambayo sijawahi juta kujaribu.

Wasalaaam.
Hongera sana
 
1: Tulikutana watsup kwenye group la vijana la dini ilikuwa mtu akijoin unajitambulisha na kutuma picha… nakumbuka tulijoin siku moja tulipishana masaa yeye alijoin saa6 usiku mimi nikajoin asubuhi mida kama saa 3 hivi

Basi bhn nilivyotuma picha yangu kama kawaidia kwenye msafara wa mamba na kenge hawakosekani zikajaa sms za wakaka inbox kila mtu ananiulizAA kweli umeokokaa mara unasali wapi wengine hapo hapo wanataka kunioa

Usiku wa siku ile nikafungia sms ya huyo kijana alituma tu sms ya kuniita jina langu Mamamzungu basi tukawa marafiki kama mwezi mmoja baadae akanambia amenipenda anataka kunioa[emoji19][emoji19] ..Huyu nilionana nae live mara mbili tu nyie likaka lilikuwa lizuri limasaii basi bhn tukadate almost 2 yrs tukaja kubreak sababu za kipumbavuu niliumiaa kichizi,, sema alikuwa bahili sanaa

2: Huyu nae tulifahamiana kupitia watsup kwenye group la dini mimi nilituma sms kuna mtu nilitaka anitafute si akanitafuta yeye inbox [emoji23][emoji23] Huyu nimeonaa nae mara nyingi mpk kwake nimefika mara nyingi mno sema ni Kabahili pesa anayotoa ni nauli yupo Radhi atoe nauli ya kigoma-Dar kuliko kukutumia hela ya vocha … Kwa sasa hivi ni kama hatuna mahusiano

3: Huyu bhn ndio laazizi wangu tulikutana Facebook… siku ya kwanza kuonana nae nilikuwa naogopa balaa kwanza nilikuwa naogopa asije akanikimbiaa labdaa siendani na picha zangu…. Mmmh Alichonambia ni mzuri kuliko picha sema ni mfupi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anyway nina mwaka wa3 na kijana wangu wa facebook mambo ni yenteyente nampenda mnooooooo
Hiyo body count ni kubwa sana duuh
 
MNIGERIA

Here we go [emoji3059].Basi hekaheka za dating app zinaendelea siku moja pitapita zangu hapa na pale nikamatch na mnigeria huyo picha alikua mtu wa maana bonge la bwana kala kaunda sut nini hapo magari makali simu kali we nikasema mambo yangu haya hapa pesa ipo Ntaomba tu ngoja nimpee time
basi bwana nikamacth na myoruba tukachat tukaamia watsapp bas story za hapa na pale nin na mim binasfi huwa sidili na wanaoanza na neno hookup ninatype yangu naitaka wakaka wastarabu nikitupa jiwe lzima limpate najifanya malkia sina shida kumbe [emoji1787][emoji1787]

Basi katika kuchat na myoruba akanisihi sana niende kwake kwakua hakutangaza ngono maana yake ni just meeting tule na kupiga story

Shoga enu sasa nikavaa verewere nikapendeza nikarzquest bolt huyo mpka upanga hapo fika pale eeeh ss mnigeria huyu mbona anakaa studio apartment kama kawaida yangu aaah atajua mwenyewe mie ngoja nikamuone

Nikampigia hlw nimefika akasema panda lift mpka floor flan jamn nilipanda lift hapo kuna tuwatu twa maana nikafika juu nikamkuta mniger wangu kafungua mlango ananisybiri koridoni

mtume roho yangu jamani kumuona hivi yule baba ni anamwili mkubwa sijawahi ona live yan yeye ndo wa kwanza kumuonakwa macho ya nyama nje ya Tv

Baba ni mrefu mpana kama mpana tena yani me shoga enu ni mrefu na ninakimwili kati lkn kwa yule baba nilikua mtoto wa form 1 D sasa nilihis joto huku na mfuata the guy alikua anaguna kama waganga wanigeria wa kwenye movie like mmmmh mmmh mmh yan nikama ana apricciate mali safi imekuja

akanikalibisha ndani uwii natetemeka mpaka meno yagongana akasema areyou okay ama nizime AC yan nilikua sielewi sasa natapatapa akiguna ule mguno wake mim nastuka[emoji23]

Yule baba akaenda kukaa kwenye kiti akanigeukia akaniuliza vip hujanipenda
Nikajibu no kwann unasema hivo akasema nakuona umepoa sana mim ni mtu mzuri ty kuwa na amani dear kidogo tena akaguna mmmmmh mmmh fine girls fine girl kama chief onkwonkwo Huku ananitazama analiza umri wangu na mambo mengine

najichekesha tu nimekua mdogo namuogopa yan anamwili mkubwa hakuna aiseee sauti kubwa niliwaza nisipotilewa figo leo sjui na ilikua mara yakwanza n mwisho kuingia ndani kwa mtu maana nilizoea outdoors tu nukaona nimuulize dear honestly wew na picha ni tofauti yani your too big hahaa nakichekesha

Alcheka kicheko kikali we mim nikabinya macho sauti nzito eti kwel kwahiyo hapa me mkubwa
Nikitupa jicho mkono wake jaman kiganja ni mikon yangu mitatu mguu wake khaa yule ni gient

Basi akanipa story za hapa na pale kwanza hata nilikua sizielewi nawaza tu niombe hela nisepe zangu akadai yeye ni pasta sijui nin hapo akanifundisha kumtegemea Mungu akanipa mifano yake alimuamini Mungu na alimuona na vifungu vya biblia akanisimulia yy alikuja bongo akawekeza katilka hizi microfinace na mwisho watz kulipa ikawa mtihaani kwahiyo amefilisika mnoo

Akasema hapa nilipo nina elfu 50 tu nimepewa na rafiki angu yani hiyo kauli ndo aliharibu kabisa na mood ya story ilikata me sipendi poteza muda afu umeniita chumban kwamba uniombe kipochi manyoya na hiyo 50 yako unaleta janja janja za nyani huli kitu hapa nilimtathimin moyoni sijawahi kuliwa bure kizembe huyu mniger analeta janja huyu we ngoja

Nikawa tu humble huku nikiwaza hiyo elfu 50 tutagawana ip mimi nayy[emoji23][emoji23][emoji23] shoga enu nina tamaaa mnisamehe tu na poleni me nilivomuona nilijua tutaonana ni getlemen tupige story nimuombe tupite super market nifanye shopping maana ni mbaba si unajua wababa waelewa kumbe nae njaa tu yan ananipa story yake me mwenyewe nina magumu kibao wazazi sina naelewa basi naishi kwa akili nishalala njaa sana nishalala chini natandika nguo nishapenda sana nikatendwa,nishakataliwa nikasemewa uongo,nishakaa kwa marafiki nikafukuzwa,nishatembeza uji,nimesoma sina kazi mambo mengi nimelia sshiv nimezoea nimetoboa nisababu niliamuakuwa jasiri natumia tu akili na kujituma na Mungu nimetoboa yy ananisimulia vitu naona vidogo afu kama anaipotezea muda hata msosi haitishi

hivi huyu anasimulia shida zake tu hapa mwili mkubwa hivo anashindwa kubeba mambo kama hayo me nimsaidie nin sasa ninshida zangu kibao nawaza huku natazama guu lake la futi 7 limepauka hatari halina futa afu ananiitaje hana hela hata kama ni story kwanza sijala story sielew ye mwenyewe anatisha anatishia tu hapa

Yule baba akasimama akaja kitandani kwanza alinipa korosh zinapili pili ya dunia nikashindwa na urafi wangu akanipa juice kisha akaja kukaa kitandan pembeni yangu maana studio apertment ni chumba kimoja kina choo na sehem ya kupikia

Basi alipokaa kitanda kikalalamika kakakaka we nikainuka najichekesha eeh nilijua chadondoka hivo akacheka wala kaa tu nikashusha pumzi nikameza mate eeh huyu nimuagaje mm sitaki kukaa hapa mm

Najiyliza mbona kanifuata jamani tena huyu baba me mtoto wa binadam mwenzie anataka nini na huo mwili kama sio kuniua mimi jaman

Akasema my dear last time umefanya check up ni lin nikasema juzi shoga enu sasa [emoji23][emoji23] sijawahi hata kupima na sina mpango etu naomba tupime tena

We nikamwambia baba pima mwenyewe kama unataka kujua afya yako unipimishe na mimi kwn unataka tufanye nin kupima ni hiali tu kashasema [emoji1787][emoji1787] anavotisha mweusi hatari sauti kama radi

Nikagoma akasimama kufuata vipimo moyo uliniruka mm jaman nilipiga hesabu nikimbie nikazungusha macho naona anaviatu pea 3 kama vya tandale vya 200 ukiwa saa 10 asubuhi [emoji23][emoji23] nyie yan sikuona cha maana anachomiliki

Wakati namchunguza mara paa kaja na vipimo me nikaendelea kugoma kwamba sitaki jamn hakuongea kitu alinikamata mkono akanivuta relax akanitoboa chwaa ewii[emoji15][emoji15]

Missy Gf Just Nana
Duuh
 
sijui nianze na yupi ila nikikumbuka kuna mtu na dada yake walishanuniana mwezi mzima mpaka wakasuluhishwa kwao kisa mimi huwa nacheka sana, dada mtu alikua ananililia sana kwenye simu na hadi leo hii sijawai kuonana nae. nilifanikiwa kuonana na kudate mdogo mtu japo wakwanza kufahamiana nae alikuwa dada mtu.
Tupe kisa
 
Back
Top Bottom