Mahusiano ya mtandaoni

Ndo utulie sasa. It is what it is!
 
🤣🤣🤣🤣 Online sio sana kwangu napenda hawa wa offline anyway Kuna kisa kipo sema na marafiki zangu humu sitaki wajue sema ilikua highest level of ukumbafuness
Weka tu tusome 😂😂😂😂
 
Fanya kurenew line, maybe she is still single, we women tunachelewa sana kumove on
Niliwahi kuchungulia kurasa zake za kijamii sioni akizitumia tena. Ni kama hazitumiki, no any updates. Line siwezi kurenew mkuu. Nimewahi kuwaza ila hapana aisee.. naamini atakuwa mikono salama tu. Najiona sikumfaa tu
 
Na kukopa kupo pia, akija unamwambia mtoto, “Mwambie mama hayupo” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha,sio vizuri ana familia mwenzio yule[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Niliwahi kuchungulia kurasa zake za kijamii sioni akizitumia tena. Ni kama hazitumiki, no any updates. Line siwezi kurenew mkuu. Nimewahi kuwaza ila hapana aisee.. naamini atakuwa mikono salama tu. Najiona sikumfaa tu
All is well dear...basi tukutane kidimbwi tukamwage moyo ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Online sio sana kwangu napenda hawa wa offline anyway Kuna kisa kipo sema na marafiki zangu humu sitaki wajue sema ilikua highest level of ukumbafuness
Njoo unipe hata pm basi[emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui kwann nimechekaaa sanaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Watu tuko tofauti.kuna wakishua halafu kuna akina sie
Tjkikutana sasa pair moja hapo[emoji134][emoji134]
 
Mimi wangu tulijuana Facebook,tulidate kea muda wa miaka mbili Kisha tukachokana tukaachana.
 
Na huo ndio mkono wa Just Nana....just kukutoa hofu, haya endelea kutiririka...
View attachment 2704754
Huu Mkono utaweza kushika nanii upeleke kwenye potassium permanganate (Kmno4) kwel?

Anyway Kuna wale wajomba wanaojua kusoma ukubwa wa maumbile kwa kuihusianisha na viungo vingne uwanja ni wenu 😁😁hasa mtaalamu wa forensic investigation GENTAMYCINE
 
Huo mkono wako umekamata maeneo siyo, una mahala pake pakushika hjkuutendea haki, au hajapata pakushika[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahah,nipo job wangu,nilitaka tu kumtoa hofu jombaa hapo aliona mempa chai ya tangawizi ,afu sukari kwa mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…