Mahusiano ya Sasa Kuna kuachwa na kutelekezwa😂😂😂

Mi nimeachwa...
Mimi nimetelekezwa...
Mimi kila ujinga wa breaking nimefanyiwa ila sichoki hata kidogo..

Mi nakula tuu na sijawahi dumu kwa mahusiano an ni kula tuuuuu nafumaniwa naachika nalia wee basi inaisha anakuja mwongine hv hvo namkula...

Akija nifumania nipo na mumama basi inaisha hapo hapo an shida ..

Simu nayo imekua changamoto mashangazi uwezi kubloku na vitoto vya 2k navy mda wote na simu daaah

Mkuu kila siku mi naachika ila mishangazi ndo inatelekeza maana unakuta anakwambia tu "" ukikua ndo utakuja naona una mambo mengi kijana ""
 
Nimeona watu wakilalamika namna wanavyopitia shida za hapa na pale kipindi cha kuachana ... Kun watu wanaoachwa na kutelekezwa. Hii imekaaje???🤕🤕🤕🥱🥱🥱
Kuachwa ni kiherehere chako binafsi tu, Watu B 9 wote duniani uteseke na Kiumbe kimoja tu nakati unapaswa ujipende wewe mwenyewe ili furaha iwe inakujaa yenyewe?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mi nimeachwa...
Mimi nimetelekezwa...
Mimi kila ujinga wa breaking nimefanyiwa ila sichoki hata kidogo..

Mi nakula tuu na sijawahi dumu kwa mahusiano an ni kula tuuuuu nafumaniwa naachika nalia wee basi inaisha anakuja mwongine hv hvo namkula...

Akija nifumania nipo na mumama basi inaisha hapo hapo an shida ..

Simu nayo imekua changamoto mashangazi uwezi kubloku na vitoto vya 2k navy mda wote na simu daaah

Mkuu kila siku mi naachika ila mishangazi ndo inatelekeza maana unakuta anakwambia tu "" ukikua ndo utakuja naona una mambo mengi kijana ""
Kifo ni wajibu wetu Binadamu sote ila usife kizembe juu ya kitumbua, unanogewa vipi kimapenzi na kiumbe usichojua sababu ya kifo cha mumuwe nyuma ya pazia? Jitafakari...!?🤔🙎

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mi niliangaika na maumivu ya mapenzi ya kuachwa, nilijenga mpaka na nyumba Ili nimpe mwanamke awe anachukua Kodi lakini wapi, Dharau, matusi ananiambia Mwanaume sijielewi. Nitumie 50k ndo tunaeza ongea nikatuma pesa lakini, wapi.
Niliumia sana, nikamwambia..
Kodi utachukua wewe miaka yote, mpaka utakapoamua wewe.
Nikamnunulia mwanae Uniform, na nikampekea kiroba Cha Unga kwani alisema hata Asante.
Niliwaza nimpe milioni moja anunue Vitu vya kuweka saluuni, maana anafanya kazi ya saluni
Nilikua kama chizi yaani nilipitia wakati mgumu sana.
Kwa sasa Yaani sitaki Kabisa kumpenda mwanamke,
Na naomba Mungu asinipe moyo wa Upendo kwa mwanamke Dharau kibao.
Nikakubali kushindawa. Sasa hiv nasonga na Maisha.
Nimeshamsahau hayupo Tena akilini, ila kupenda Tena sitaki, na Mungu aniepushie mbali na baraha la kupenda, kupenda ni kama mkosi kwa Upande Wangu.
 
Alikuwa ana mtoto kabla hujaanza naye mahusiano?
 
Mwanamke ana Watoto 3. Ila nilimpenda sana Mbwa yule.yaani sitaki Kabisa hizi mambo za kumpenda mwanamke Bora nifanye mapenzi kutoa nyege ila sio kupenda, nilinunua uwanja mwaka Jana mwezi wa 9 nikajenga nyumba ya vyumba 4 awe anachukua Kodi lakini wapi. Kila ninachosema kwake kibaya.
 
Mi niliangaika na maumivu ya mapenzi ya kuachwa, nilijenga mpaka na nyumba Ili nimpe mwanamke awe anachukua Kodi lakini wapi, Dharau, matusi ananiambia Mwanaume sijielewi. Nitumie 50k ndo tunaeza ongea nikatuma pesa lakini, wapi.
Niliumia sana, nikamwambia..
Kodi utachukua wewe miaka yote, mpaka utakapoamua wewe.
Nikamnunulia mwanae Uniform, na nikampekea kiroba Cha Unga kwani alisema hata Asante.
Niliwaza nimpe milioni moja anunue Vitu vya kuweka saluuni, maana anafanya kazi ya saluni
Nilikua kama chizi yaani nilipitia wakati mgumu sana.
Kwa sasa Yaani sitaki Kabisa kumpenda mwanamke,
Na naomba Mungu asinipe moyo wa Upendo kwa mwanamke Dharau kibao.
Nikakubali kushindawa. Sasa hiv nasonga na Maisha.
Nimeshamsahau hayupo Tena akilini, ila kupenda Tena sitaki, na Mungu aniepushie mbali na baraha la kupenda, kupenda ni kama mkosi kwa Upande Wangu.
Njoo nkupe pesa zote nitumie hatabsnk account
 
Back
Top Bottom