Mahusiano yamekuwa tatizo kwangu!!

officialaman

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
94
Reaction score
123
kisa chenyewe ndø kama ifuatavyo ..

Mimi nikijana mwenye miaka 20 sasa katika safari yangu ya maisha nimekuwa napitia changamoto nyingi katika masuala ya mahusiano ambapo masuala ambayo Mimi nayaona kama changamoto kwa vijana wenzangu wanaokama fursa lkn tunatofautiana ..

Kiukwelii nimekuwa nikipendwa na wasichana kiasi kwamba wenyewe ndio wanaonitongoza na kutaka kuwa na mimi kwenye mahusiano na Bora angekuwa mmoja lkn wamekuwa ni wengi ambao wanakuwa wananisumbua na kutaka kuwa na Mimi kiasi kwamba nikijenga tu urafiki na girl yeyote mwishowe anataka kuwa na Mimi. Hali hii imekuwa tangu nikiwa katika elimu yangu ya secondary ambapo ilifikia magirl wanagombana na kutukanana na kusema wanatoka na Mimi.

Sometimes unakuta nasikia watu wanasema natoka na girl fulanu na yeye anajiproud hivyo since mimi sina hisia naye wala sijamuapproach

Kwa kipndi hicho niljua ni mambo ya shule lkn hata nilivyomaliza kwa street wanawake wengi wanaonitongoza, naogopa kuchezea hisia za watu miee wataumia vibaya hata hivyo kibaya zaidi.

Naomba mnishauri nifanyaje maana imefikia pabaya wanakuja hadi home

Nafanyaje kuhusu haya? Je, nawaleft vipi hawa magirl wa namna hii waache kunisumbua kias hiki na wanakuwa wananichafulia jina sasa
 
Jipige kifuani alafu sema naacha UFALA
 
Wewe unahisi wanakupenda sura au maisha unayoishi?
 
Wee bwege nini...wanajileta sii uwagegede
 
DOGO SHULE ZISHAFUNGULIWA?
MAANA HYO TABIA YA KUJIONA MZURI AU KUJIFANYA UNAPENDWA WENGI WENU WALIISHIA KUPELEKEWA MOTO
 
Mod
Tuwekee ule wimboooo wa

Achiaa ngaziii nduguu mchumaa unaondokaaa huooooo x3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…