Mahusiano yamekuwa tatizo kwangu!!

Mahusiano yamekuwa tatizo kwangu!!

kisa chenyewe ndø kama ifuatavyo ..

Mimi nikijana mwenye miaka 20 sasa katika safari yangu ya maisha nimekua napitia changamoto nyingi katika maswala ya mahusiano ambapo maswala ambayo Mimi nayaona kama changamoto kwa vijana wenzangu wanaokama fursa lkn tunatofautiana ..

kiukwelii nimekua nikipendwa na wasichana kiasi kwamba wenyewe ndio wanaonitongoza nakutaka kuwa namimi kwenye mahusiano na Bora angekua mmoja lkn wamekua niwengi ambayo wanakua wananisumbua nakutaka kuwa na Mimi kiasi kwamba nikijenga tuu urafiki na girl yoyote mwishowe anataka kuwa na Mimi halii hii umekua tangu nikiwa katika elimu yangu ya secondary ambapo ilifikia magirl wanagombana ,kutukanana na kusema wanatoka na Mimi sometimes unakuta nasikia watu wanasema natoka na girl flan nayeye anajiproud hivyo since mm cnA hisia nae wala cjamuapproach kwa kipnd icho niljua ni mambo ya shule lkn ata nivomalza kw street wanawake wengi wanaonitongoza , naogopa kuchezea hisia za watu miee wataumiaa vbaya ata ivo kibaya zaidi ...

naomba mnishauri nifanyaje maana imefikia pabaya wanakuja adi hom .. nafanyaj kuhusu haya je nawaleft VP Hawa magirl wanamna hii waache kunisumbua kias hiki..na wanakua wananichafulia jina sasa
HAYA WANAAAWAKE WA JF

FURSA HIOOO MSEME HAMNA BAHATI
 
Back
Top Bottom