Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

Wewe mwenyewe umesema umeropoka, na ukweli hausemwi kwa kuropoka, kosa lako, omba msamaha yaishe
Poa,ila nikimuomba msamaha na hizo nywele aache kutumia,nitampenda mpaka basi tu yaan
 
Najiuliza sana mwisho wa picha sipati jibu,kiukweli niliropoka tu bahatimbaya.
Huw
siyo bahati mbaya hawa viumbe hawati kuambiwa ukweli yaani yeye anata akiweka kope ndefu umwambie amependeza auakipaka wanja kama ebotike umsifie yaani ukisema ukweli ndiyo unampiga jongoo na mti wake
 
hakuna makitu siyapendi kama hayo, yana harufu flani ya kukera si kidogo.

kama kauchuna nawe uchune tu (jikaze ) atardi akiwa na upara maisha yaendelee.
aisee kumbe tuko wengi,yaani harufu si mchezo manywele yenyewe yanaoshwa na madawa basi ni shida ni mwendo wa Mafua tu yaani tukilala huwa naomba pakuche
 
WA KWANGU NILIMWAMBIA SITAKI MINYWELE YA BANDIA YA MAREHEMU AU KATANI AKANIELEWA NA KUNA KITU HUWA SIKIELEWI INA MAANA WANATAKA KUWA KAMA WAZUNGU AU
 
YALE MANYWELE NA MAARUFU YAKE HUWA YANAFANYA HATA HAMU YA KUCHI KUCHI SHIDA.ILA NILIMWAMBIA AKAELEWA
 
Kwanini arudi analia? Wanaume muda mwingine mnajionaga mungu watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HAMSHAURIKI MBONA TUKIJA NA HARUFU YA POMBE MNALALAMIKA.HAYO MANYWELE YENU NI SHIDA NA UKIWA NA MTOTO MDOGO YATAMLETEA SHIDA YA KUPUMUA NA ANAWEZA HATA KUPATA PUMU.MADAWA MAKALI
 
Mmmh mie napita, jiwe gizani[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wanajikutaga wao ndo miungu watu.
Ya kwamba atarudi analia.
Ngoja ampate anaejua kununua hizo nywele Orignal ndo utagundua ulikuwa humtunzi mtoto wa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huwa wananichosha[emoji23][emoji23][emoji23] wanaona wanawake bila wanaume hawawezi kuishi, umekua msiba mpaka arudi analia[emoji23]
 
Kuna rafiki yangu wa kike sijawahi kumuona na natural hair, hata siku moja. Ikabidi siku moja nimuulize, kistaarabu tu, kumbuka ni rafiki wa kawaida tu......[emoji12]
 
Yaani huwa wananichosha[emoji23][emoji23][emoji23] wanaona wanawake bila wanaume hawawezi kuishi, umekua msiba mpaka arudi analia[emoji23]
ALIYE KUAMBIA HUWA TUNAPENDA HAYO MAKATANI NI NANI.? HAYAFAI KWA AFYA NA UKIWA NA MTOTO MDOGO NDIO MBAYA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…