Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

HAMSHAURIKI MBONA TUKIJA NA HARUFU YA POMBE MNALALAMIKA.HAYO MANYWELE YENU NI SHIDA NA UKIWA NA MTOTO MDOGO YATAMLETEA SHIDA YA KUPUMUA NA ANAWEZA HATA KUPATA PUMU.MADAWA MAKALI
Hizo pombe huwa mnaacha sasa? Kama yeye anakuvumilia harufu ya pombe na yeye mvumilie.

halafu mbona weaving hazina harufu, may be kama anakaa nazo muda mrefu na ukiona mdada ananuka nywele jua ni mchafu.
 
DUH ! NIMENYOOSHA MIKONO
 
Kuna rafiki yangu wa kike sijawahi kumuona na natural hair, hata siku moja. Ikabidi siku moja nimuulize, kistaarabu tu, kumbuka ni rafiki wa kawaida tu......[emoji12]
Kilichotokea nini?
 
Mkuu hata na mimi nashindwa kuwaelewa hawa Team mawigi sijui ni kwamba hawajiamini we komaa na ukweli tu kwani utakuwa huru. #no team fake.
 
Ungetafuta njia nzuri ya kumtonya....

Ila poa tu..kama mwerevu atakushukuru badae
 
ALIYE KUAMBIA HUWA TUNAPENDA HAYO MAKATANI NI NANI.? HAYAFAI KWA AFYA NA UKIWA NA MTOTO MDOGO NDIO MBAYA KABISA
Wapo wanaopenda mkuu,una uthibitisho gani kuwa yanaleta madhara kwa watoto?

Umerudi nyumbani unavaa zako kofia, kama ni kupulizia spray na mafuta ni asubuhi unavyotoka hayo madhara anapataje nihelimishe.
 
Mkuu hata na mimi nashindwa kuwaelewa hawa Team mawigi sijui ni kwamba hawajiamini we komaa na ukweli tu kwani utakuwa huru. #no team fake.
HALAFU SHIDA HAPA JF WAPO WACHACHE WASOME.YALE MANYWELE NI YA NINI? ILI WAONEKANE KAMA WAZUNGU AU?
WEMA.jpg
 
Pole mkuu, kuwa na tabia ya kuweka maji kinywani
 
Kimtokacho mtu ndicho...... Kiukweli hupendi ndo maana likakutoka sio bahati mbaya ila umesema pasi kujiandaa!!! Lakinii ujumbe ameupata kama ako na upendo wa dhati atafanya venye Unapenda awe
 
Achana naye huyo bila Shaka alikuwa anatafuta sababu tu muacheni.
 
Kimtokacho mtu ndicho...... Kiukweli hupendi ndo maana likakutoka sio bahati mbaya ila umesema pasi kujiandaa!!! Lakinii ujumbe ameupata kama ako na upendo wa dhati atafanya venye Unapenda awe
Sakayo[emoji12]
 
Wanaume jamani ukute hata hela ya saloon hutoi! Full kujishaua tu kumuuliza Mawigi yake[emoji35] [emoji35]

Unamtunza? Je unacare? Au kiherehere tu cha maswali, only kugongea free P?!!!
 
Back
Top Bottom